nenda pale kwenye kuku wengi pataitwaje vile.....................................
Mkuu totoz si zipo hata za cash!
sometime ukiwa na mtu mwenye akili unapata japo challange.
hayo mengine yapotu kaka, hua hayapangwi.
nenda pale kwenye kuku wengi pataitwaje vile.....................................
utakutana na kulumbembe litakuPM
Mimi sio mwenyeji saana wa Dodoma ila napafaham kidogo.
Pia ninapapenda, mara kadhaa nilishakuwepo kwa mapumziko binafsi.
ishu ni kua nina marafiki kadhaa na ndugu Dom ila sina rafiki msichana/mdada.
Mdada yeyote wa Dodoma anae hisi kua huru kua rafiki kwangu, kiroho safitu, ki- MMU
naomba ani-PM. Nitakua dodoma next week kimapumziko toka leo.
kutembea sehem tofauti za kiserikali kama ofisi, taasisi, sehem za kihistoria, sehem za starehe, n.k
ni interest kwangu napokua na muda wa kupumzika.
Angalizo, MDADA UWE MTU MZIMA TAFADHALI. MIAKA 18 and above.......
mie bora awe dodoma. sijali anakotokea!unahitaji kabila la dodoma wagogo sijui warangi au hata mngoni anayekaa dodoma poa?
me nimesema rafiki, nikiondoka si anabaki dodoma, sanasana tutakua intouch kama marafiki.ukihama dodoma unamuachaje uyo mdada?
khahaha mkuu upo dom!![/b]
hahaaa....mkuu nafikiri umejitahd kutia nakshi ujuz wako wa ofisini uwadake totooz.
Kila la kheri....
UKIMWI UNAUA..