Teh,hao wazaz wanakushauri hv kweli? Kitabu cha Robert Kiyosaki(Rich dad and poor Dad kinawahusu saana)Yeah ni kweli.... but nyumbani nashauriwa nisome kitu ambacho soon after graduating napata kazi...so dat why nataka nisikie kutoka kwa wadau humu coz kuna educated people in this forum....
Ninamaanisha kwamba, piga education walah utaona, kupata kazi ya uwalimu Rwanda na Burundi haitakua tabu, pia kuna fursa huko USA kwa wanafunzi na walimu wenye degree ya kwanza walio tayari kufundisha kiswahili kwenye vyuo vya kwao USA kwa malipo ya kusomeshwa bure degree ya pili....Unamaanisha nini????
Kwa Hiyo ID yako nafikiri akikuPM namba yake tu AMEKWISHA..!Ukisoma BAE utapata mkopo ila unaweza usiwe 100% ,ila kuna vigezo vingne kama wewe ni yatima au una mzazi mmoja,wazazi wako ni walemavu ,wewe ni mlemavu vitafanya upatiwe mkopo . Na unaweza kuangalia course nyingne kama LLB,JOURNALISM, MASS COMMUNICATION,zote hizo ziko UDSM. Kuna course nyingi sana kama utojali ni pm namba yako nikutumie guide book ya mwaka jana ili uangalie course nyingine tofauti tofauti.
Ahsante sana kwa ushauri....nitaufanyia kazi...Nafasi utapata! Tatizo educ kwa sasa haina future! Nenda kozi za maana kama ulizoshauriwa na wadau hapo juu!Congratulation kwa div yako 1.8 katie msuli hivyohivyo! Hata kama educ ni hobby yako basi katie msuli ubaki chuo kama lecturer!!
Nashukuru sana jaman daaah it is true for sure let me take educationNinamaanisha kwamba, piga education walah utaona, kupata kazi ya uwalimu Rwanda na Burundi haitakua tabu, pia kuna fursa huko USA kwa wanafunzi na walimu wenye degree ya kwanza walio tayari kufundisha kiswahili kwenye vyuo vya kwao USA kwa malipo ya kusomeshwa bure degree ya pili....
Nimekutafunia vya kutosha now meza mwenyewe sasa.
Thanks much mkubwa nimekuelewa yaniiii naenda educationsoma hiyohiyo education u opt kiswahili na literature au political science na linguistic maana BAED haimaniishi utakuwa mwl. tu kuna means nyingi ...na ukitusua GPA plus kuchangamka kwako waweza pata nafasi vyuo vikuu....! got me?
Yeah ni kweli kabisa yaniiiiEducation ajira mkononi asikudanganye mtu
Karibu sana UDSM.Nashukuru sana jaman daaah it is true for sure let me take education
Acha kupayuka.Nilikuwa nashangaa why hapajajitokeza mtu wa kumwambia am PM namba yake."Majasiri hawapotezi asili".
Ahsante sana nitakaribia ndgu yangu when God will blessKaribu sana UDSM.
Nilisoma ualimu kwa kuchagua,naipenda sana kazi yangu.
Tehe mkuu vipi ukweli umekuingia,hiyo guide book iweke hapahapa ajipakulie,wewe unataka umpeleke PM huko pm kuna nini mkuu.Acha kupayuka.
Unapata na utapewa mkopo kabisa maana umekidhi vigezo vya ndalichako na wewe ni wale wanafunzi ambao JPM ana wahitaji!Mambo wanajamvi.. Mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka huu...nilisoma HKL..nimepata division one ya point nane.. tafadhari naomba kujua je nitaweza kupata nafasi UDSM Na je nitaweza kupata mkopo asilimia ngp...malengo yangu ni kusomea bachelor of arts with education.... msaada please wanajamvi...
Kwa masomo yake bora asome tuu Education maana pamoja na mahitaji ya masomo ya sayansi lakini still kuna mahitaji ya walimu wa masomo ya sanaa!Nivema ukatafakari pia 2019 utakapokuwa unamaliza elimu yako kama bado serikali itakuwa inaajiri walimu wa sanaa. Ikiwa sasa dalili zaonesha ajira hizo kuelekea ukingoni.