Kwa matokeo haya naweza kujiunga na chuo cha NIT?

tatoo nyalus

Member
Joined
Feb 4, 2019
Posts
12
Reaction score
3
Mimi ni binti nilifanya mtihani mwaka juzi nikapata D2 na c1....mwaka Jana nikafanya tens nimepata D2 ila masomo yamejirudia yaleyale je naweza kujiunga na kozi ya marketing pale NIT...tafadharr

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka msaada inabidi ueleze ufaulu wako somo kwa somo ili wanaojua waweze kukusaidia kwa umakini. Sema somo fulani nimepata......n.k na unataka usomee kitu gani (kama ulivyoweka hapo Marketing).
 
Kama vipi mambo ya shule hayako kwa hako kakichwa kako ka kufugia nywele tafuta muhuni mwenzio akuoe
 
Ukitaka msaada inabidi ueleze ufaulu wako somo kwa somo ili wanaojua waweze kukusaidia kwa umakini. Sema somo fulani nimepata......n.k na unataka usomee kitu gani (kama ulivyoweka hapo Marketing).
Sawa na asante kwakunielekeza...mwanzoni nilipata D ya geo,D ya kisw na C ya eng....mwaka jana nina D ya geo na D ya kisw...please

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sawa na asante kwakunielekeza...mwanzoni nilipata D ya geo,D ya kisw na C ya eng....mwaka jana nina D ya geo na D ya kisw...please

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hapo una Gepg (D) na Kisw (D) na Engl(C) , NIT marketing wanataka
"Basic Technician Certificate in Marketing and Public Relations Holder of certificate of secondary education examination (CSEE) with four passes "D" in non religious subjects OR Holder of certificate of secondary education examination (CSEE) with two passes "D" in non religious subjects and Holder of National Vocation Award (NVA) level III".

Kwa hiyo huna ufaulu wa masomo manne kiwango cha angalao D. Unachoweza kufanya ni kusoma kama masomo mengine mawili (mfano hesabu na history) ukipata D2 pamoja na pass zako 3 unakuwa na passi 5-unaomba hiyo certificate ya marketing au uende VETA uchukue masomo ya marketing (Una ufaulu wa masomo 3 wao wanataka 2 lakini uwe na cheti cha form4) ukifaulu huko VETA wanakupa NVA level III ambayo inakuwezesha kudahiliwa NIT.
Lakini kote huko lazima uwe na cheti cha F4.
 
Asante sanaaa....mungu akubariki nitayafanyia kazi hayoo

Back
Top Bottom