Kwa matokeo haya, Atapata degree ya medical laboratory?

Ercy's

Member
Mar 19, 2015
88
24
Kuna dgo alimaliza 6 mwaka 2015 akapat D-bio,D-geo & s- chemistry
Anatak aombe degree ya medical laboratory..... Je anaweza pata au anyooke tu kwa diploma????????
[HASHTAG]#msaada[/HASHTAG]!
 
Hawezi kupata Bachelor popote pale kwanza hana Physics... Km o'level alisoma Physics aende Diploma kwanza ila km hana Physics nitafute PM kwa msaada zaidi nn afanye MKUU...
 
Back
Top Bottom