Kwa matokeo haya atachaguliwa kuingia A level?

Kwa matokeo haya atachaguliwa kuingia A level?

Anaenda vizuri tu.Kama si hivyo basi mshawishi aende diploma.Huku atatoka na GPA kubwa,ataenda chuo kikuu na GPA kubwa sana kisha ataelekea na masters kisha atakuwa mwalimu wa chuo kikuu.Kama si hivyo basi ataenda Advance kama kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HUYU JE? ANAWEZA KWENDA ADVANCE?
M

23

III

CIV - 'C' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'C' ENGL - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'D' COMM - 'D' B/KEEPING - 'D'
 
Kama mna uwezo mplekeni chuo, A-level ni kupoteza muda.
 
Back
Top Bottom