M mjumbe22 Member Joined Dec 9, 2015 Posts 38 Reaction score 4 Dec 10, 2017 #1 Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha 4 mwaka 2012 ana D zote na C mbili ya kiswahili na Civics yaani div 4:26 je anaweza kusoma nn kipindi hiki? Masomo ya sayansi Phys, Chem, Bios na Maths yote Ana D
Nina mdogo wangu amemaliza kidato cha 4 mwaka 2012 ana D zote na C mbili ya kiswahili na Civics yaani div 4:26 je anaweza kusoma nn kipindi hiki? Masomo ya sayansi Phys, Chem, Bios na Maths yote Ana D
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,746 Reaction score 25,672 Dec 26, 2017 #2 Duh ngoja waje
M mhaya jr Member Joined Dec 26, 2017 Posts 23 Reaction score 11 Dec 26, 2017 #3 Kwa kuwa ana math na phys asomee uhadisi