Kwa matokeo haya asome nini??

Kwa matokeo haya asome nini??

Survival

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2015
Posts
219
Reaction score
92
Math-D
Civics-D
Chemistry-D
Bioligy-C
Kis-C
English-C
Eng Sc-D
W/Shop Tech-D
Weld & Met-F
Mechanical Draught-D
 
machenical engineer kwa sababu ana msingi mzuri wa mechanics,au anaweza kusoma Biomedical engineer kwa maana nimeona amefaulu biology na fizikia
 
mfumo wa elimu yetu utatufanya miaka yote tuwe watumwa!
 
Dogo alikuwa shule nzuuuriiiii kabisa ya ufundi nadhani kipindi wenzake walipokuwa wanaenda preparation ye alikuwa anavizia ma carpet ya ubwabwa kila somo muhimu we DDDDD....etc hupati hata ualimu wa shule ya msingi matter of fact nenda veta
 
huyo mwanafunz angekuwa shule ya kata Ana zero anacheza sana sasa we mwambie achague mwenyewe akasomee
 
Dogo alikuwa shule nzuuuriiiii kabisa ya ufundi nadhani kipindi wenzake walipokuwa wanaenda preparation ye alikuwa anavizia ma carpet ya ubwabwa kila somo muhimu we DDDDD....etc hupati hata ualimu wa shule ya msingi matter of fact nenda veta
hahaaa amecheza sana
 
Back
Top Bottom