Kwa Matajiri wa JF

Amina!
Nikipata japo milioni Tano, naamini kuna kitu naweza kufanya!
Weka mchanganuo wake uonekane mana kwa mtu anaeanza biashara milion tano expectation ya return kwa mwezi ni kias gan na kwa biashara gani? Utafungwa mzee hela hiyo kwa kuanzia ni nyingi sana. Omba less than 2 m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…