kalulukalunde
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 1,056
- 1,083
July 15 2016 ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete ‘Muhimbili‘ imeweza kufanya matibabu ya kumuwekea mgonjwa kifaa cha kusaidia moyo kufanya kazi zake kwa mtoto wa miaka mitano, kifaa hicho kinaitwa pacemaker operation hii ni ya kwanza kwa Tanzania kufanyika kwa mtoto.
Mtoto huyu alikuwa na ugonjwa unaoitwa concenital heart block uliokuwa unasababisha mapigo ya moyo kuwa chini sana na kumsababisha kushindwa kumudu maisha ya kawaida kwa umri wake.
Uongozi wa taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete ‘Muhimbili’ wamewataka watanzania watambue uwepo wa huduma hiyo katika taasisi na kwamba kwa wale ambao wanashida juu ya mapigo ya moyo, wanaweza kwenda kwenye taasisi na kufuatilia matibabu.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
Maoni yangu
JK AMEFANYA MAKUBWA SANA KATIKA HILI LA TAASISI YA MOYO, NAUNGANA NA RAIS MAGUFULI, JK APUMZIKE KWA RAHA ZAKE AMEFANYA KAZI NZURI MUNGU AMPE AFYA NA MAISHA MAREFU