Tangu uhuru jmn,ndio greda limekuja kuchonga barabara ya Ng'ingula-Masisiwe-Idegenda-Madege-Idete wilayani KILOLO cha kusikitisha zaidi ni kama wameharibu barabara kwani hakuna kifusi wala changarawe wakati kuna mvua nyingi sana hivyo hazitapitika tena.