Kwa mara nyingine jeshi la polisi limechemka tena

Kwa mara nyingine jeshi la polisi limechemka tena

Nicholaus Kilunga

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
1,188
Reaction score
570
JESHI LA POLISI,DIS IS NOT FAIR INDEED,KUNYA ANYE KUKU,AKINYABATA KAHARISHA?

Wakati akichangia kwenye bunge la katiba mbubge wa Mbinga kapten Komba alisema hivi naomba nimnukuu"Serikali 3 zikipita mimi nitaingia msituni."

Kauli hyo bora ingetolewa na raia wa kawaida labda tungeipuuza,bt kauli hiyo imetolewa na mwanajeshi aliekuwa na cheo cha Kapteni jeshini,bt hatukuona mamlaka za kiusalama zikimuhoji,polisi hatukuwasikia hata kutaka ufafanuzi wa kauli yake,bt leo kuanzia Polisi,serikali,wabunge njaa wa waliopo bungeni wanatetemeka na kuijadili kauli ya mwenyekiti wa CHADEMA aliyoitoa majuzi wakati wa uchaguzi wa chama hicho,pale aliposema CHADEMA itaitisha maandamano na migomo nchi nzima na isiyo na kikomo.

Polisi na idara zote za kiserikali zimepagawa na kuanza kulishadadia hilo jambo,hii ni double standard ya nguvu,kwa mfano,wabubunge kama Dovutwa na Mlema +Shibuda,wanapata wapi moral authority ya kuwaongelea UKAWA na kumsema vibaya Mbowe na CHADEMA?

Serikali ikimkanyaga mwananchi ni bahati mbaya,bt mwananchi akiikanyaga serikali ni makusudi,atapigwa,atanyanyaswa na kuumizwa,hili halikubaliki.

Kunya anye kuku,akinya bata eti kaharisha.
Kati ya kauli ya Komba ya kutangaza kuingia msituni na na ya Mbowe ambaye ni raia ipi ni kauli hatari kwa mustakabari wa taifa?

Chagonja na wanaokutuma,wanachama wa CHADEMA tunasubiri kipenga tu kipilizwe tuingie road,hhata mje na vifaru safari hii lazma maskini aoneshe kachukizwa...mtapiga nyama ,na kuua mwili bt kamwe si roho wala yale tuyaaminiyo,tumeanza mazoezi ya kusaka pumzi,jipangeni.

10626682_769011903158057_5783644205996112262_n.jpg10665706_769012473158000_6822246394898687834_n.jpg
 
Mapambano yapo pale pale mpaka katiba bora ipatikane. Mimi kwanza nimeshaanza mgomo baridi mahala pangu pa kazi. Waache watupige risasi, watumwagie maji ya kuwasha, watunyofoe kucha na macho kamwe hatutarudi nyuma kwani haya ni maisha tuliyoyachagua.
 
Hapo sababu watakwambia kaongelea ndani ya bunge lakini hata kauli hiyo ya Komba angeitoa nje ya bunge usingesikia lolote.

Jiulize yule mbunge wa Tabora na waziri wa zamani alietuhumiwa kubaka kesi hiyo imeishia wapi.
 
Only in Tz mkuu,Mungu atunusuru
 
Unategemea haki kwa hawa polisi?? Siku ukitendewa haki na hivi vyombo vya usalama njoo nikupe hela ya kula wewe na familia yako kwa week nzima
 
Mkuu huenda Akawa anamaanisha "ataingia msituni Kujisaidia".

Kwani kila aingiae msituni ni vita tu?

Sisi huku kijijini wala hatusubiri serikali tatu wala nne. Tunaingia msituni kila siku.
 
niko tayari kupigwa risasi lakini wajuwe kwamba kufa kwangu ni chanzo kwa watakaobaki kama wafuasi wangu kuendeleza mapambano mpaka katiba mpya yenye maslahi kwao ipatikane.

Shame on you polisisiemu!!!!!!!!
 
Sauti ya mtu akienyikani itasikika,hatuogopi tena kufa
 
kama tz ingekuwa gari ningeshuka na kudandia lingine
 
Mapambano yapo pale pale mpaka katiba bora ipatikane. Mimi kwanza nimeshaanza mgomo baridi mahala pangu pa kazi. Waache watupige risasi, watumwagie maji ya kuwasha, watunyofoe kucha na macho kamwe hatutarudi nyuma kwani haya ni maisha tuliyoyachagua.

Sugu bangi mbowe bangi Lisu bangi nani mwenye mawazo salama
 
Back
Top Bottom