Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Haitakuja kutokea tena kwa miaka mingi ijayo, mara nyingi huwa ni ngumu sana kupurge au kusafisha Chama na kukiunda upya kwa sababu huwa ni ngumu kupata sababu zinazoweza kushawishi watu kukubali mabadiliko, sasa kwa kuwa Nape siyo mtu smart kichwani na anaongozwa na emotions badala ya logic ametoa nafasi ya pekee kuflash out a useless lot!
Kwangu mimi hii ni bahati ya mtende, hivyo kama ningekuwa Rais wa nchi na Mwenyekiti wa Chama ningetumia muda huu kufanya reforms na kusafisha Chama kabisa kuondoa less intelligent people kama Nape na kuleta vichwa vya uhakika kama akina Polepole TZ yetu ina watu wengi sana wenye uwezo na ambao hawana muda wa uongo, unafiki na majungu kama Nape!
Na maadamu Mwenyekiti wa Chama ni Rais wa nchi ambaye ndiye Mkuu wa vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama na ndiye mteuzi na mtenguaji wa nafasi zote muhimu ndani ya JMTZ hakuna kitu hawa less intelligent people watafanya zaidi ya kujaza seva kama wafanyavyo sasa hivi JF, Facebook, Instagram & Co.!
Hivyo ukiniuliza mimi Nape ametoa nafasi ambayo ni nadra kuipata, ni kama vile mtu atake kufanya Mapinduzi halafu yashindikane na hao watu unao, unafanya nao nini? Wamekupa nafasi na sababu ya kupurge,...