Kwa mahitaji yako ya chumba, n yumba,kiwanja

Kwa mahitaji yako ya chumba, n yumba,kiwanja

mseseve

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
511
Reaction score
89
KWAMAHITAJI YAKO YA NYUMBA, KIWANJA NA CHUMBA
CONTACT TO
JOZEElaMASIA
0714612375
0764824832
 
How? Kakutapeli?

Kutokuzingatia maelekezo muhimu ya tangazo lako nayo inakuwa ni ubabaishaji....

At least watu wazingatie haya:

Kwa kua mimi ni mmoja wa wadau wa hili jukwaa ningependa pendekeza kitu. Mpaka sasa hivi nimeona matangazo mengi yanayowekwa hapa hua hayajitoshelezi (details chache), yani kwa kusoma tu tangazo mara ya kwanza mtu anashindwa kuamua kama kinachotangazwa kinamfaa, bei anaiweza au atakipenda. Unakuta watu inabidi waulize maswali mengi sana baada ya original post.

Kwanini tusirahisishiane kazi kwa kuweka details zote ambazo ni muhimu kuhusiana na bidhaa?
. . . Picha - mtu ajue muonekano wa kinachotangazwa.
. . . Specs - mtu ajue atakachopata kwenye hiyo bidhaa.
. . .Bei - mtu ajue kama ana kiasi kinachohitajika.
. . .Eneo - mtu ajue kama anaweza fuata hiyo bidhaa.
N.k
Mimi nimeboreka sana baada ya kufuatilia tangazo moja la nyumba hapa, baada ya kuchoma sana credit kupiga back and forth alafu siku kadhaa baadae nikaja kugundua kwamba hiyo nyumba haina uzio. Hapo nilishampa mwenye tangazo matumaini ya kupata mteja, mimi ya kupata nyumba nzuri wakati tulikua tunapotezeana muda na pesa bure.

Ningependekeza kwanzia sasa watu wawe wanaweka maelezo yanayojitosheleza ili mtu atakapochukua hatua ya kukutafuta awe anafanya kuuliza kama bidhaa bado ipo na wapi muonane badala ya kuuliza maswali ambayo majibu yake anaweza kuyapata kirahisi kwenye tangazo lako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom