Poa poaNatengeneza kwa oda ndugu yangu
Haswaaa!Cjajua n nn hasa kinasababsha bei za sofa kuwa kubwa!! Wakat material zake ad utengenezaj n kawaida sana
Hii biashara inategemeana sana na ujinga wa mteja
Inategemeana na ujinga wa mteja! Kivipi mkuu.Cjajua n nn hasa kinasababsha bei za sofa kuwa kubwa!! Wakat material zake ad utengenezaj n kawaida sana
Hii biashara inategemeana sana na ujinga wa mteja
Hapana mie situmii mbao mbovu wala siwezi kuweka kitu chochote cha ajabu kwani kufanya hivyo ni kujiharibia kazi wakuuInategemeana na ujinga wa mteja! Kivipi mkuu.
Ila point yako ya bei kuwa kubwa nimeielewa. Pia yanatengenezwa kimagumashi sana, wanawekaga mbao mbovu sometimes
Hongera mkuu kama unajielewa na kulielewa hilo.. Ungeweka picha za sample za aina mbali mbali...Hapana mie situmii mbao mbovu wala siwezi kuweka kitu chochote cha ajabu kwani kufanya hivyo ni kujiharibia kazi wakuu
Nb. Fundi mkweli kinyozi tu wengine wote magumashiHongera mkuu kama unajielewa na kulielewa hilo.. Ungeweka picha za sample za aina mbali mbali...
Unajua ujinga n ule mueonekano wa sofa kumzuzua mtejaInategemeana na ujinga wa mteja! Kivipi mkuu.
Ila point yako ya bei kuwa kubwa nimeielewa. Pia yanatengenezwa kimagumashi sana, wanawekaga mbao mbovu sometimes
Kwahiyo usipokuwa mjinga maana yake utatengeneza mwenyewe??Unajua ujinga n ule mueonekano wa sofa kumzuzua mteja
Mbao mbovu au zenye gharama ndogo tu pale bugurun zpo
Magodoro used na magodoro ulimi kucover na juu yake vinakuja vitambaa
Vitambaa bei kawaida sana na misumari mingiii ambayo linakamilisha zoez
Sasa najiuliza inakuaje bei inakua kubwa na mafund wa sofa kila kona apa mjin,!!!
Ndio maana nasema hii biashara inategemea na ujinga wa mteja