kwa wale wanaohitaji kuchorewa ramani za nyumba na makazi,sasa huduma hyo inapatikana.Utachorewa kulingana na mahitaji yako au utachagua kutoka katika michoro yetu...bei zetu ni nafuu sana...KARIBUNI
kwa wale wanaohitaji kuchorewa ramani za nyumba na makazi,sasa huduma hyo inapatikana.Utachorewa kulingana na mahitaji yako au utachagua kutoka katika michoro yetu...bei zetu ni nafuu sana...KARIBUNI
Ceogwamzy, mimi nachora kwa kutumia autocad program.
Tuwasiliane kwa steven.karugila@gmail.com ili pale unapokuwa overloaded I can be of a great help.
Kind regards.
Vijana waliomaliza vyuo hivi karibuni ni kama wana frustration za kutafuta kazi. Wewe unajua kuchora ramani, kwanini usitangaze biashara yako vizuri tukakutafuta?
ili tangazo lako hujaliweka vyema mkuu maana ungetuwekea location ulipo, namba ya simu au ungetupa mwelekeo wa kukutafuta mkuu hebu edit tangazo una uliweke vizuri samahani kama utaboreka
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.