makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,459
- 108,547
- Thread starter
-
- #21
Sawa bosi ila ungetaja hata price range
Nadhani ungekadilia bei ya kuanzia ili watu wajue. Kuna watu hawaamini kwamba mtu hawezi kuchora kitu kiatokea kama kilivyo, sasa wewe ungeweka picha za watu wanaojulikana sana kama Obama, kikwete, mtu mwingine yeyote maarufu watu waone kipaji chako.

Mkuu kuna 20k hadi 50k pesa halali za kitanzania, bei inategemea sana sana na mazingira(ugumu wa picha) nikiwa namaanisha mandhar yake, mahala ambapo muhusika anahtaj picha ichorwe na size ya picha inayohtajika.
mmmh 20k hadi 50k ndo shilingi ngapi...fanya kuwa wateja wako si vijana wa umri wako mnaoelewana lugha...kuna watu wa mwaka 47!
Utajali kuweka mawasiliano yako hapa?
Usijali mkuu nadhan niliyaweka mwanzoni wakat naandika uzi ila naweza rudia hata maraa kadha ukijitaj
Email:mirajimgumia@gmail.com
Simu: 0659445718
Jamani inasikitisha!!!!!!!!!
Je ni kweli kuwa serikali inalipwa UDS1000 kwa mwaka huku hiyo Kampuni ikilipwa Dola 5000 kwa kila siku toka KLM tu??
Kumbe ndiyo maana nchi nyingine watu huamua kuingia msituni kupambana na maadui wa maendelo kama hao waliosaoni huo mkataba!!
Impressive work!!!
Kwa mahitaji ya picha nzuri,kali,murua na maridadi kama hii tuwasiliane kwa 0659445718 au ni pm.. Mwenye dili za kuchora, ofisi inayohitaj mchoraj au mahali pakuanzia msaada please.
Pesa na Dhahabu ni mali ya BW ( Mungu )Tembelea kijiji au centre ya wasanii nafasi art space iko mikocheni nyuma ya itv baada ya yard ya kilimanjaro express ufungue macho kidogo kutoka kwa wenzako. kufanya kazi moja kwa 20k maisha haya kutoboa kimaisha itakuwa ngumu nenda ukawe inspired kwa wasanii wenzako maana sikuona kazi chini ya 200k pale
Upatapo kazi za kufanya usisahau kutoa mzaliwa wa kwanza ktk kazi yako pia fungu la kumi ( ZAKA )Kwa mahitaji ya picha nzuri,kali,murua na maridadi kama hii tuwasiliane kwa 0659445718 au ni pm.. Mwenye dili za kuchora, ofisi inayohitaj mchoraj au mahali pakuanzia msaada please.
Nkrumah Hall kwenye haya maonesho ya sanaa hapa juzi mwezi uliopita au??makaveli? Nakumbuka kama niliona kazi yako pale NKRUMAH HALL