Kwa mahitaji ya nyumba au chumba cha kupanga Mwenge, Sinza, M/nyamala na Mbezi

*PLOT FOR SALE/VIWANJA VINAUZWA*
1. *KIMARA* (bonyokwa)
sqm 900
Price: 15m

2. *GOBA*(TEGETA A street)
Sqm 625 ( meter 25*25)
Price 16m

3. *CHANIKA*
sqm 400
Price 2.2m.

4. *KITUNDA*
sqm 850
Price : 9m
 
*VIWANJA VINAUZWA*

*LOCATION*: KIGAMBONI GEZA

_VIPO SEHEMU MOJA KILA KIMOJA KINA DOCUMENTS ZAKE_
*DOCUMENTS* VIWANJA VIMEPIMWA NA VINA HATI

*UKUBWA* KILA KIMOJA KINA SQM 812

*BEI* KILA KIMOJA MIL 22 TZS
 
A
Acha fitina mkuu hii serikali tangu inakusanya kodi imewapa maskini wangapi nyumba acha UDANANDA kaa kiuanaume usiwe machepele
 
1)-Viwanja vinauzaa Goba Kulangwa

2)-Viwanja vimepimwa na vina hati.

3)-viwanja unaweza kulipa kwa awamu ndani
ya mwaka! au cash

4)-Vipo mita 400 toka barabara ya lami

5)- Bei ni 37,000 kwa sqm

 
Nyumba inauzwa mbez beach area kwa zena kawawa ina room 3 master setting room daining room kitchen and store uwanja sqm 780 be million 250 maongezi yapo.
 
*JIPATIE HUDUMA BORA*
ZA VIWANJA NA MASHAMBA-MADOGO NA MAKUBWA:

*PIGA: 0684448888/0713415537

*WhatsApp-0684448888/0713415537

*Kiwanja cha kujenga Sheri kina offer kipo kisarawe2 kilomita 13 kutoka ferry*
qmt 3278
Bei milion 250

1:Luguruni kushoto kilomita 3
Ukubwa-20×40 Milion 13 tu
2:20x20=milion 6:5
Plot qmt 4000 acre 1: imepakana na hospital ya mlogazila
Bei milion 65

Luguruni eneo la kujenga kiwanda mita 125:5 Morogoro road
toka ofisi ya manisipaa ya mpya ya inapojengwa
Ya ubungo


*MAENEO YA KUJENGA SHERI*
*Kinyerezi -mbezi*

1lot no 1:qmt 4,000
Bei milion 200
2lot 2:qmt 5,000
Bei milion 400

*Morogoro road*
1:Makondeko qmt 4000
Bei milion 300

1:Kibamba
qmt- 8000
Bei milion 350 acre 2
2:qmt 8000 acre 2
Milion 350

*KIBAHA PWANI*
1:Kibaha kabla ya mail moja 70×70=au qmt -4000
Bei milion 100

2:Misugusugu acre 4
Sawa na qmt 16000
Bei milion 300tu
Maeneo yote full docoment
Piga
***********************

Unahitaji kiwanja kuazia milion 4, nakuendelea nipigie Epka usumbufu
Unapata viwanja luguruni kibamba hospital kilomita 3 nakuendelea

*Viwanja vimepimwa karibuni sana kilomita 2*
Kibamba-luguruni au hospital Morogoro road
Huduma mhimu zote zipo maji pia vimepimwa

1:qmt 931=milioni 14
2:qmt 1685 milion 26
3:qmt 1850 milion 29
4:qmt 3420 milioni 52
**********************
1:Eneo linauzwa korogwe kimara
Ukubwa qmt 3060
Bei milion 300
Umbali mita 300 kutoka Morogoro road
************************
Eneo kubwa ruvu acre 10 zinauzwa bei yakutupwa ruvu ya mlanandi eneo lina acre 12 eneo lakufugia lina bwawa acre 9 zote zakumwagili acre 3 zipo juu
Bei milion 12
**********************
2:Acre 50 unapita kiwangwa kidogo kama unaelekea msata barabarani kabisa zinauzwa kwenye lami limeaza kabisa acre milion 4 zipo acre 50 haya kwa wawekezaji karibu sana
Unaweza kupata 10,20 nk

******************
Plot inauzwa mbweni Kiharaka ukivuka mto full docoment
qmt 1432
Bei milion 55
*************************
1:Shamba kiwangwa bago acre 40 full docoment kilomita 2:5
Acre 1,shilingi 600,000
Mazungumzo yapo unaweza kununua acre 10 milion 6 zote mazungumzo yapo:
*************************
1:Eneo qmt 6000
Kigamboni ukuvuka daraja
Bei milion 500
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…