Kwa mafundi simu wa Hardware

Liscky

Member
Joined
Nov 23, 2014
Posts
13
Reaction score
6

Habari,

Mm ni fundi simu na ninapenda kuzidi kujikita zaidi katika kupata maarifa mapya ya kazi yangu so kuna suala la kubadilisha Memory (internal), Proccessor, Power IC.

Napenda kujua kubadilisha hivyo vitu haswa kwny simu hizi za MTK, SPD na Qualcom. Hivyo ningependa kujua ni vifaa gani natakiwa niwe navyo na vinapatikana wapi na kwa bei gani?

Pia mambo ya kuzingatia katika zoezi la kubadilisha vifaa hivyo
 
Hot Air Gun na Station yake ndio mchawi

 
Mahitaji:

1. Blower
2. Gun
3. Solder paste
4. Stencil
5. Microscop
6. Looping wire
7. Jtag box
8. List itaendelea baadae nikikumbuka majina

Mahali pa kupata kwa uhakika ni AliExpress.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…