kwa laptop zinazotumia sim card

kwa laptop zinazotumia sim card

Joined
Aug 19, 2012
Posts
86
Reaction score
18
habarg wajf natumia laptop aina ya dell latitude D630 inauwezo wa sim card ila siwezi kuitumia ninaomba msaada kwa anayejua ni program gani naweza tumia kuconnect na intanet
 
Sina hakika kama nimekusoma! Labda nianze hivi: Kuna wakati nilikuwa na Laptop ambayo ningweza kutumia SIM Card bila modem! Kitu ambacho nilifanya ni ku-install software ya modem....yaani kama unapenda kutumia tigo, azima modem ya tigo kisha itumie kwa ku-install software yake. Baada ya hapo, ukishaweka tu Chip kwenye Chip Slot, automatically itai-detect na kukuwezesha ku-connect moja kwa moja!
 
habarg wajf natumia laptop aina ya dell latitude D630 inauwezo wa sim card ila siwezi kuitumia ninaomba msaada kwa anayejua ni program gani naweza tumia kuconnect na intanet
Kuwa na SIM card slot haitoshi, hiyo itafanya kazi kama una card ya wireless mobile broadband. Kama hiyo card ipo then unatakiwa uweke drivers, kumbuka asilimia kubwa huwa hazina hiyo card.
 
Back
Top Bottom