Kwa kweli Simuelewi huyu dada

Humuelewi kitu gani? Amekupenda ila ndio vile anakuona mdogo ki umri..!

Akikwambia hujambo? Mwambie sijambo Shikamoo dada..! Baasi..

Du.! shikamoo tena. Kwani ivi ni lazima kumsalimi mtu kwa shikamoo ndio akuone unamheshimu.
 
Mpigishe gwaride umtie adabu ajue we ni mkubwa au mdogo...

Hataliweza ndio maana nampotezea. Atafika katikati aniambie sitaki tena. nina experience hiyo ndio maana.
 
Kuna utoto fulani from you ambao anatamani usingekuwa nao...ili uwe more useful kwake au jamii kiujumla

labda, huwa nafikiri yeye anataka awe kwenye level yangu ili tuongee lugha moja. Namuona kama anaumia sana tunapopiga story wengine wanaelewa alafu yeye anabaki anatoa macho
 
is there anyway we can be of help to that?
 
Unanifurahisha unavyoupenda ukubwa.
Nahisi pia unamtamani na unajua amekuzidi umri kwa hiyo unatamani akuone na wewe ni mkubwa ili umuombe game...
Kuwa na heshima halafu piga kazi

Hapana kaka, namueshimu ila naona kama yeye ndio anataka kujilevel na mimi.
 
Benteke vevee acha jinga kula kula huyo veve
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…