yamindinda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2011
- 1,581
- 1,318
Kwani ni CHADEMA ndiyo ilisaini mikataba ya kimataifa kuridhia haki za binadamu bila ubaguzi na haki ya elimu kwa wote? Je aliyesema mashoga wako salama na kwa maana hiyo watalindwa ni CHADEMA?SIASA ZA KITOTO ZINAENDELEA: BURIANI CHADEMA
Siku hizi ukisoma post za washabiki na viongozi wa CHADEMA hutashindwa kuona wanavyosambaza habari za nchi kunyimwa misaada au mataifa ya nje kulaani nchi yao! Na utabaini hoja zao ni mbili: Tanzania kukataa ushoga au haki za binadamu.
Siasa sampuli hii ndio zimefanya wananchi wadharau upinzani kwa kiwango kikubwa mno. Dharau hii inaonekana kwenye sanduku la kura. Pia ndio imesababisha viongozi Wa upinzani kuhama na kurudi chama tawala. Hivi wapiga kura watapendaje chama kinachosherehekea nchi yao kupata majanga? Japo taarifa wanazotoa nyingi ni za uongo haingii akili mtu kuona furaha nchi yake kuathirika! Hata ingekuwa wanayodai ni kweli watu wangetegemea mtu mwenye akili timamu asononoke badala ya kuchekelea! Sawa Mtoto achekelee nyumba yao kuwaka moto eti kwa kuwa babaake alimlamba mboko kwa kuiba sukari!
Licha ya uongo unaombatana na nyaraka feki au tweeter feki inaonekana CHADEMA hawajui masuala ya international relations. Kwanza mataifa hayatoi taarifa kupitia tweeter. Pili mataifa huongea chini kwa chini kama kuna tatizo badala ya kukimbilia mwenye mitandao! Tatu ni ukweli kuwa hakuna misaada. Hakuna nchi duniani inampa mwenzie kitu bila yenyewe kupata kitu! Ni akili tepe ndio zinadhani tunapewa misaada! Hivi dhahabu, almasi, pamba na kadhalika na sie tunatoa misaada kwao? Tunapeana! Kwa hiyo nchi haiwezi kutunyima msaada maana na wao watakosa msaada wetu! na hakuna wanatuhitaji zaidi ya tunavyowahitaji. Wanatubembeleza mno kwa kuwa wanajua wakidengua China yupo tutaanza nae biashara!
CHADEMA hili hawalijui! Wao wameshupalia tumenyimwa misaada! Hao kina Denmark, Norway na wenzao wanahaha kupata Mali zeru! Waondoke waone! na sidhani watathubutu! Ni ujinga tu Wa CHADEMA.
Kuhusu ushoga ndio hapo CHADEMA wanajidharaulisha mno kwa wapiga kura. Hivi hata ingekuwa kweli kuna sababu ya kushangilia? Kwa hiyo CHADEMA Sera yao inakubali ushoga ili tupate hicho wanachoita misaada? Hivi CHADEMA wamesahau TANZANIA ina watu mwenye imani ya kikristo, kiislam, kihindu? Watapataje kura kwao? Hivi CHADEMA ni wapumbavu kiasi kwamba wako tayari kukubali ushoga kwa kuwa tu hawakuipata Ikulu? Au wanadhani wazungu ndio watapiga kura 2020?
Kwa kweli CHADEMA kimejichokea! Suala la ushoga ingekuwa fursa kwao kuwaonyesha wapiga kura kuwa CHADEMA kina maadili. Badala yake CHADEMA kinawathibitishia wapiga kura kuwa ni chama cha kihuni.
Buriani CHADEMA
mkuuSIASA ZA KITOTO ZINAENDELEA: BURIANI CHADEMA

Kwani ishu ya ushoga chadema wanahusika vipi kwani serikali yako lini imekataa ushoga hiyo tulishaambiwa ni swala la mtu mmoja sii serikali ila chadema wanaonya pale ambayo kinaona tutapata hasara KWA maana nchi ni ya wote kukitokea shida tutaumia sote sii kwa ccm pekee hivyo tukinyimwa misaada tunaumia hata tusio waumini Wa chama mfano wanaopata ARV huo msaada Wa watanzania wanyonge chadema ni kama kioo usipasuwe kioo chakoSIASA ZA KITOTO ZINAENDELEA: BURIANI CHADEMA