Bro nimepata chance ya chuo ya kwenda kusoma sasa broo ni some wapi nijikwamueKujua coding hakuna tofauti na kujua kupiga randa, kubeba tofali, kufagia, kushona nguo etc.
Kama ulivyojibiwa ubunifu ndio unakuingizia hela, kuna watu wametengeneza software zao wanahangaika kila siku hawana kipato cha maana, na kuna wengine wanatengeneza ki game kama flappy bird wanaingiza mamia ya mamilioni kwa siku.
Mkuu Mkwawa naombwa kujuzwa kuhusu utofauti wa kusomea Programing na kusomea SoftwareKujua coding hakuna tofauti na kujua kupiga randa, kubeba tofali, kufagia, kushona nguo etc.
Kama ulivyojibiwa ubunifu ndio unakuingizia hela, kuna watu wametengeneza software zao wanahangaika kila siku hawana kipato cha maana, na kuna wengine wanatengeneza ki game kama flappy bird wanaingiza mamia ya mamilioni kwa siku.
Software ipi? Maana ni too generalMkuu Mkwawa naombwa kujuzwa kuhusu utofauti wa kusomea Programing na kusomea Software
Hapo hakuna ninalolijua kuhusu utofauti wa kusomea Software na programming ndio maana naomba kujuzwa utofauti uliopoSoftware ipi? Maana ni too general
Yani haya maneno Yana maana pana sana. Ila kifupi programming ni ku andika hizo lugha za computer, na software inaweza kuwa software designer, ama developer, ama engineer etc. Software ni pana zaidi ina involve hayo mambo ya programming na zaidi.Hapo hakuna ninalolijua kuhusu utofauti wa kusomea Software na programming ndio maana naomba kujuzwa utofauti uliopo
Ahsante
Bro nimepata chance ya chuo ya kwenda kusoma sasa broo ni some wapi nijikwamue
Mfano
Kuna Web design
Maintenance
Graphics
Database
Programming
Software engineering
Na nyinginezo nyingi broo
Naombeni sanaa msaada wenu maana kazi ninayo na ada ninayo na ruhusa nimesha haidiwa na boss wangu
Software ni maagizo yanayofatwa na Computer kwa ajiri ya kutekeleza jambo fulaniMkuu Mkwawa naombwa kujuzwa kuhusu utofauti wa kusomea Programing na kusomea Software
Ahsante sana mkuu, nilipendelea hii ya software design ili niweze kudesign software na kuziuzaYani haya maneno Yana maana pana sana. Ila kifupi programming ni ku andika hizo lugha za computer, na software inaweza kuwa software designer, ama developer, ama engineer etc. Software ni pana zaidi ina involve hayo mambo ya programming na zaidi.
Vyema kama ni Course ukaangalia Contents zake za ndani.
Ahsante sana mkuu kwa ufafanuzi huuSoftware ni maagizo yanayofatwa na Computer kwa ajiri ya kutekeleza jambo fulani
Kitendo cha kuifanya computer kutekeleza jambo fulani kwa kutumia software tunaita 'programming'
Tumei 'program' computer
Programming ni jinsi ya kuandika software...