Kwa kujua au kutojua, Halima Mdee alifikisha ujumbe wa aina mbili Kisutu

Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
4,240
9,527
Tofauti na ile alama ya dole gumba ambayo kimsingi haina maana, alama ya vidole viwili inayotumiwa na Chadema na wadau wengine wengi katika harakati mbalimbali duniani, ina maana kubwa mbili kulingana na ilivyotumika.

July 10,2017 katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu au Kwa kujua au kutojua, Halima Mdee alifikisha ujumbe wa aina mbili kwa kutumia alama ya vidole viwili almaarufu kama V- for victory!

Kwanza kabisa Halima alinyanyua mkono wa kulia akaonyesha alama ya vidole viwili huku kiganja cha mkono huo kikiwa kimemuangalia yeye (the inner palm of the hand facing the signer).
Alama hii ikitumika hivi inamaanisha dhihaka,kukashifu au kutusi (an insult).

Mara ya pili, ndani ya sekunde kadhaa, Halima alinyanyua mkono wa kushoto akionyesha tena alama ya vidole viwili huku kiganja cha mkono huo kikiwa kimeielekea hadhira (the inner palm of the hand facing outward).Alama ya vidole viwili ikitumika hivi inamaanisha ushindi, umoja na upendo!

Ningepata nafasi ya kuonana na Halima moja kwa moja ningemuuliza kinagaubaga juu ya ujumbe aliokuwa anafikisha.
Ila pia najua kuwa Halima ni member wa JF na si vibaya akitutoa tongotongo juu ya nini hasa na nani hasa!!!
 
Mkulu, kwa ulivyoandika, ninaona huna lengo la kumshikia Halima athibitishe uelewa wake juu ya hili.

Ninahakika ama kwa kujua ama kwa kutokujua umeandika ili kutoa ufahamu kwa watu wengi wengine ambao pia hatukujua kuwa mwelekezo wa vinganja wakati wa kutoa hiii ishara unatoa maana tofauti tofauti.

Lakini ninaujasiri wa kusema watu wengi hufanya ishara hii ama huitafsiri kwa maana ya Victory. Hii nyingine ni kama imefichika sana.

Ahssante kwa kuongeza ufahamu wa watu ingawa nina mashaka kuna mtu zaidi yako ambaye amekanganyikiwa na nia ya Halima.

Ahsante kwa kuongeza ufahamu, Pengine tusikike na wengine wanaojua kama kinganja kikielekea upande wa kulia na kushoto ama hata akiweka mkono nyuma ya kisogo kwa lamana hiyo hiyo ya vidole viwili atakuwa na maana gani.

Ahsante kiongozi.

Kazini na kutunga uchochezi

Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
 
Alama hiyo ya kwanza ni UP YOURS! Ila wengi hawaijui.
 
Mkulu, kwa ulivyoandika, ninaona huna lengo la kumshikia Halima athibitishe uelewa wake juu ya hili.

Ninahakika ama kwa kujua ama kwa kutokujua umeandika ili kutoa ufahamu kwa watu wengi wengine ambao pia hatukujua kuwa mwelekezo wa vinganja wakati wa kutoa hiii ishara unatoa maana tofauti tofauti.

Lakini ninaujasiri wa kusema watu wengi hufanya ishara hii ama huitafsiri kwa maana ya Victory. Hii nyingine ni kama imefichika sana.

Ahssante kwa kuongeza ufahamu wa watu ingawa nina mashaka kuna mtu zaidi yako ambaye amekanganyikiwa na nia ya Halima.

Ahsante kwa kuongeza ufahamu, Pengine tusikike na wengine wanaojua kama kinganja kikielekea upande wa kulia na kushoto ama hata akiweka mkono nyuma ya kisogo kwa lamana hiyo hiyo ya vidole viwili atakuwa na maana gani.

Ahsante kiongozi.
Mnamchokoza Halima, atawapa mbofu mbofu halafu muponee kwa DC Hapi na 48 zake!
 
Back
Top Bottom