Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,397
- 19,323
Aseee huyu kipa anayetulindia goli Yanga ..ni shati aseee ... Magoli anayofungwa aseee ... Bora kindoki .Nyikaaaa njooo uchukue hii ng'ombe yako
Yaaani jamaaa mrefu kuruka haendi yaani wanampopoa tu. MTU anapiga shuti Ubungo mpaka mwenhe imooooo ...ukilenga tu golini imooooooo boya sana
Sijakwambia ulalame nipe matokeoYaaani jamaaa mrefu kuruka haendi yaani wanampopoa tu. MTU anapiga shuti Ubungo mpaka mwenhe imooooo ...ukilenga tu golini imooooooo boya sana
Aseee huyu kipa anayetulindia goli Yanga ..ni shati aseee ... Magoli anayofungwa aseee ... Bora kindoki .Nyikaaaa njooo uchukue hii ng'ombe yako
mi nilimuona mapema sana na sijui ni nani amempa idhini ya kuwa kwenye timu ya hadhi ya Yanga ya vijana mbwa huyuYaaani jamaaa mrefu kuruka haendi yaani wanampopoa tu. MTU anapiga shuti Ubungo mpaka mwenhe imooooo ...ukilenga tu golini imooooooo boya sana