We ndo Abood?
We ndo Abood?
Huwezi jadiri wazo Kama halipo.Wewe ni average mind...
Unajadili tukio(event) unashindwa kujadili wazo(idea), huoni the bigger picture.
Wewe unadhani dhamani ya Abood kwa wananchi ni kutoa vitanda na usafiri wa kuzikia.
Huwezi jadiri wazo Kama halipo.
Kwa ufahamu wako mdogo, ktk tukio lile wazo ni
lipi hata lijadiriwe?
Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
Saalam!
Kilichotokea Morogoro siku mbili zilizopita zimenipa uelewa Mpana juu ya kiumbe aitwae mtanzania.
Wakati anaingia bungeni kwa Mara ya Kwanza Abood, alijipangia yeye binafsi kutoa huduma ya maziko kwa Wana Morogoro, watu walifurahi, kushukuru na kumsifu mbunge wao.
Lakini hao hao wakati Rais anamshambulia Abood walishangilia kwa bidii zoteee! Nimetambua kiumbe kinachoitwa mtanzania siyo Cha kukiamini hata kidogo. Kiumbe huyo inatakiwa kuishi nacho kwa tahadhari kubwa sana
Ndugu Abood pole sana, naamini umejifunza, acha wafu wawazike wafu wao.
Fungia Basi zako.
Nilichokileta hapa sicho unachozumza wewe.Maswala ya ubinafsishaji yalianza na Mwinyi na baadae Mkapa kuyawekea mkakati mkubwa zaidi. Malengo yake yalikuwa kupunguza mzigo kwa serikali maana viwanda na mashirika mengi yalikuwa yanakula kuliko kuzalisha, kufufua ajira na kuongeza makusanyo ya kodi. Hiyo ndio ilikuwa idea ya serikali. Sasa mwenye serikali hivi sasa ni JPM, ana jukumu la kuendelea kusimamia hiyo idea.
Sasa kama Abood amepewa na anashindwa kuendeleza anarudisha nyuma concept nzima ya ufufuaji wa hizi taasisi, na kama anachukua mikopo kutumia hizi assets halafu akanunue mabasi ni makosa zaidi. Anawanyima watu ajira halafu baadae anakuja kuwapa misaada midogo midogo ambayo haina msaaa wowote wa muda mrefu.
People need economic opportunities sio misaada. Hicho kiwanda kingesaidia wakulima, mama ntilie, daladala etc etc. Economic multiplier effect.
Unajiita una akili kubwa, unashindwa kuona shida kwa mtu ambaye amepewa kiwanda halafu kakitelekeza unataka asisemwe kisa anatoa misaada. Ndio ujinga wa kupewa misaada ya kujengewa choo na mzungu, huku anaondoka na makontena ya dhahabu.
Ndipo tunaposema Rais hakupaswa kumnawa Abood front of majority kwani hata kabla ya uchaguzi alijua kuwa ameua viwanda wasingempitisha na kuiba kura.Hakuna mtu morogoro anamtaka abood zaidi ya TISCCM kumsaidia kushinda.
Kumbe siku hizi mabasi ndio yanazika marehemu?Kwa akili yako unafikili,kule kwenye majimbo mengine ambayo wabunge hawatowi mabasi mabovu ya kuzikia marehemu,maiti huwa zinaozea ndani?