Kwa kawaida wanaume ndio hutongoza wanawake, je wewe mwanaume ulishawahi kutongozwa na mwanamke hadi ukakubali tueleze

Kwangu ishatokea mara nyingi sana, wapo niliowapa go ahead na wapo niliowa-burn out....honestly, am very selective kwenye issue hizi, maiki yangu sio ya kila muuimbaji.

Kwenye upande wa mafikirio, normally huwa tunawaangalia kwa negative-eyes mara nyingi.....ila sometimes hiyo negativity huwa inatoweka baada ya muda, hasa ukikuta kuna ukinzani wa perception yako mwanaume na reality yake mwanamke.

Ni hayo tu.

#CHIZOBA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Esther Mwikwabe, sijui uko wapi? ulinitongoza vyema sana, ukawa unapata kizunguzungu cha ki aina, unakumbuka siku ileee Nyuma ya Ofisi za BOMANI? ila sasa niko mbali But jua uliniachia utamu. humu sikuoni jitokeze basi.

Tunda Mpiga nakukumbuka ulivo nitongoza mpaka ukawa unalia. but nitafute nikupe mambo!

Bhoke Ndugai, niliposhinnda kwenda secondary uliamua kulala na mimi mpaka asubuhi, mkishirikiana na Rafiki yako Anastazia Joseph. nikawapa kwa zamu. Maisha raha sana.

But Msuya waziri wa zamani alijua kuzaa, alikuwa na vibinti vizuri sana kwa kila hali.... any way.
 
J e ni furaha kutongozwa na mwanamke au sio furaha?
Ulimpenda?
Hakuna raha hapa Duniani kama kutongozwa na demu mzuri, wanahangaikaga sana, kila mtu anatamani kupendwa, sasa wewe mtongozwaji jifanye humuelewi unapo tongozwa yaani,
sitaki nataka, anavokupiga swaga, ktk hali ambayo hawezi kukugundua, uta mu-enjoy sana kimoyomoyo. siri ni hii; usicheke au kutabasamu, anapokutongoza, kuwa serious afu mpende.

Mkifikia hatua hii hapa lazima mtoto wa kike akubake tu. cha kufanya; Mkatie mauno vizuri na polepole na kwa maringo, angalia usikojoe haraka mpaka yeye afike kileleni km mara tatu hivi, ndo na wewe unaachia zako habari, yaani cha tatu mkojoe pamoja.
na dawa ya kuzuia kukojoa haraka ni kupanua mdomo na kutoa hewa kwa kasi, na kukodoa mimacho. hamisha mawazo sekunde tatu, hata akikuangalia usoni haita mtisha, atajua anakuchanganyia mambo!

Hatakubali kuachwa huyu, ni lazima itakuwa vita bin mbinde, ambayo shetani ndo ataamulia tu.
 
Mimi hata sikumbuki mara ngapi ila imenitokea mara nyingi sana na wapo niliowakubali na wapo niliowakataa. Kuna mmoja tangu 2011 mpaka leo hajakata tamaa tu anaweza kaa hata 6 month akiibuka huko ni sound kwenda mbele.
Binafsi zamani nilikua najua mdada akikutongoza ni malaya amekosa soni kabisa but kuna kipindi nilibadilisha huo mtazamo baada ya kutongozwa na mdada ambae washkaji wengi sana walimtokea na akawakataa, na alikua mrembo balaa ila siku akaniweka chini akanipiga sound hizo dah sikuwa na uwezo wa kukataa sababu nilikua namkubali pia lakini kutokana na jinsi washkaji walivyokuwa wanapigwa vya mbavu nikaona hapana siwezi kwenda.
 
Wanaume ndio hutongoza ,lakini je inaweza kuwa kinyume chake? je wewe mwanaume ulishawahi kutongozwa na mwanamke?,ulimkubalia maombi yake?,unamchukuliaje mwanamke akikutongoza ?,au ulimchukuliaje mwanamke aliyekutongoza?
J e ni furaha kutongozwa na mwanamke au sio furaha?
Ulimpenda?
jitokezeni wanaume kujibu maswali yangu.
sikutongozwa ila nilitegwa nikategeka. Yaliyofuata yakanifurahisha
 
iliwahi kutakwa na wanawake kama 6 hivi,wawili niliwakataa,(mmoja hakunivutia na mwingne walikuwa yeye na rafiki yke ote walinielewa ivo ikabidi ni opt,na na wengne 3 sikuelewa wananitaka,nlikuja kujua baadae sana ikawa too late,na mmoja mke wa mtu(huyu nlikula tunda kimasihara)
 
Ilinitokea kipindi kile nina mkwanja nikawala wote! Siku hizi sijui hawanioni..
 
Naweza nisijibu direct kama swali lako linavouliza ila kuna demu mmoja hybrid moja ya kiarabu ilinielewa aiseh na mimi nikawa naielewa balaa sema domo likawa limejaa gundi, demu alitoa ishara na alama zote mpaka za babarani maskini zumbukuku mimi sina habari when a woman love she is love for real, mwisho wa siku alinifuata akaniambia Yani kusoma hujui hata picha huioni ndo hapo oblongata ikanikaa sawa tukaanza mahusiano kwake alikua serious lakini mimi bado uoga ulikuepo ( kwanza dingi ake swala tano afu mtu mzito, mama yake nae serikalini ana cheo anaendeshwa na gari) ilifika stage demu akawa kama kavurugwa, msikitini haendi, hijabu havai pia yale maadili ya kiislamu kama awali aliyapunguza, wazazi wake kuona vile wakamsafirisha Oman huko hata papuchi sikuila, miaka na miaka kupita ndo tukaja kuwasiliana tena demu akawa ananicheka as jokes kwamba "danh sijawahi ona mwanaume mzembe kama wewe walah mbinguni utakua na siti ya mbele kabisa" Now kila mtu ana maisha yake.

Kwa miaka ya sasa kwangu hata kwa baadhi ya wanaume wenzangu, hali ya maisha imefanya dada zetu wengi wajirahisishe na kujitongozesha sana kwa wanaume,, (japo wenye mapenzi ya kweli wapo sema ni wachache na vigumu vile vile kuwajua) binafsi kutokana na malengo yangu wengi hua nawakwepa hata kama uwezo wa kumkaza free au pesa kiasi ninao , naogopa sana magonjwa pia ukishamtia mtu mimba now labda ukute back ground yake mbovu ila kama wazazi wake wapo active watafanya juu chini umuoe huyo binti yao halafu assume wewe ndio ulimuweka zima moto hukua na future nae
 
Back
Top Bottom