Kwa Kauli hizi za Tajiri Mo sasa ni rasmi Mdogo wangu Mchezaji Jonas Gerald Mkude unatakiwa Kubadilika upesi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,747
109,204
"Siridhishwi hata tone na nidhamu ya baadhi ya wachezaji wetu nje ya uwanja. Nimekuwa mnyonge kuona uwekezaji tuliouweka kwao, baadhi yao, huutumia kama fimbo ya kutuchapia."- Mo Dewji.

"Niwaambie wachezaji wote, Simba ni klabu kubwa kweli kweli, tena kubwa hasa, na hakuna shaka ni namba moja Afrika Mashariki, bodi ninayoiongoza mimi haitavumilia mchezaji yoyote asiyejua thamani ya Simba. Kuonyana onyana sasa imetosha."- Mo Dewji.

Sijawahi Kumuona ' Tajiri ' Mohammed Dewji akiongea kwa Kukasirika hivi na sasa ni rasmi kuwa hata Yeye ameanza Kuwachoka baadhi ya Wachezaji wasio na Nidhamu ambao siyo Siri japo wapo wengi hapo Klabuni Simba ila ' Mwanangu ' mwenyewe Kiungo Jonas Gerald Mkude hili linamuhusu kwa 100% na anatakiwa Kujitafakari na Kubadilika upesi.

Wengine ni akina Clatous Chama, Yusuph Mlipili na Gadiel Michael nao pia wabadilike na waachane na ' Upuuzi ' wao Mitaani.
 
Sorry jamaa ana mambo gan nje ya uwanja

Mimi nimesikia mambo ya ulevi tu

Mbunye ( hasa za Mademu wenye Matako / Makalio makubwa makubwa ) na ile bidhaa muhimu yenye Moshi inayowekwa Kinywani iliyoasisiwa na Hayati Robert Nesta Marley. Na hii tabia walifundishana na Rafiki yake wa Utotoni kutoka Kinondoni Christopher Edward. Na hata Mtu aliyemuharibu Beki Yusuph Mlipili ni huyo huyo Mkude kwa Kumfundisha Kupenda Pombe na ' Mbunye ' huku Baa yao Kubwa ikiwa ni ile ya Masai iliyopo Kawe ( inatazamana na Viwanja wa Tanganyika Packers na Mita chache tu kutoka Kituo Kipya cha Mabasi Kawe ) ambapo hapo kuna Mhudumu Mmoja ana Matako / Makalio Makubwa yenye Urefu wa Dar hadi Moro ambaye ndiye anamuharibu Mkude na mara kwa mara humkosi Mkude hapo akiwa amejificha kwa Juu na Kofia yake. Ukimkosa hapo Mkude basi nenda pale Kwao Kinondoni kwa Mama yake ambapo kuna Baa yake ambayo Mama yake Mzazi ndiyo anaisimamia. Kiukweli Jonas Gerald Mkude anatakiwa abadilike upesi kwani Simba SC ya ' Tajiri ' Mohammed Dewji itamchoka na atakuja Kujuta. Kuhusu Kushuka Kiwango kwa Kiungo Mzambia Clatous Chota Chama alaumiwe sana Mwanadada na Mrembo ( Mnyange ) Wema Sepetu na Muuganishaji Mkuu w hao Wawili alikuwa ni huyo huyo Jonas Mkude huku Yeye akichukua 10% kutoka kwa Wema pale ' akihongwa ' na Chama. Kwa leo naomba niishie hapa tafadhali.
 
Inatakiwa wanasimba tujifunze na kuutambua wimbo wa Taifa! Ni aibu Hadi Haji Manara hajui wimbo wa Taifa la Tanzania una beti ngapi!? Daah! Aibu sana
 
Inatakiwa wanasimba tujifunze na kuutambua wimbo wa Taifa! Ni aibu Hadi Haji Manara hajui wimbo wa Taifa la Tanzania una beti ngapi!? Daah! Aibu sana

Huu Uzi unaongelea Haji Manara na Wimbo wa Taifa au ni ' Maadhui ' ya Mohammed Dewji kwa Wachezaji wa Simba SC? Hopeless!
 
Inatakiwa wanasimba tujifunze na kuutambua wimbo wa Taifa! Ni aibu Hadi Haji Manara hajui wimbo wa Taifa la Tanzania una beti ngapi!? Daah! Aibu sana
Salaaaleee! Hilo huwa ni janga sio kwa Simba hata timu ya Taifa ikiwa inaimba wachezaji wengi hawajui wanajiumauma tu. Makocha nao kule tena watanzania kabisa wale wasaidizi utawaona wanapepesapepesa macho huku na kule huku wengine wakiwa na kofia.

Huwa najiuliza hawa walikuwa hawaimbi wimbo wa Taifa wakiwa shule? Au basi kama kuimba hawajui hata kutulia tu wanashindwa. Ingekuwa vyema wachezaji wetu na benchi laufundi wawe wanafanya Riheso ya wimbo wa Taifa tuondokane na hii aibu.
 
Kabisa... wachezaji hawajui kucheza kwa kiwango kikubwa kutawasaidia pia na wao.
Mo kaza sana Pesa yako isichezewe
 
hahaha... huyu Mkude hatari, mlevi yeye, mademu yeye, kuwadi yeye, vipi genta na wewe mkude hajakutafutia danga?

Dogo nimemfundisha ' Usela ' mwenyewe ( maeneo ya Kinondoni ) ila kila mara huwa namwambia awe makini awapo Kikosini naona hanisikii sasa labda kwakuwa ' Mo ' leo kasema ya Moyoni anaweza Kuogopa na Kubadilika. Hata ' Totooz ' za Baa ya Mango Garden nazo zinahusika Kumuharibu. Kuna Siku alilewa hapo Chakari ikabidi Ramadhani Singano atoke Kwao maeneo ya Temeke kwenda Kumbeba na alikuwa hajitambui kwa Kugambeka / Kulewa vibaya. Kitu pekee kinachomsaidia na ashukuru Mungu tu ni kwamba kwa Tanzania hii ya sasa bado hakuna ' Holding Midfielder ' kama Yeye ( Jonas Gerald Mkude ) halafu ana Kipaji cha Kipekee ambacho Kocha yoyote Yule akimuona tu atampenda na hawezi Kumuweka nje. Nawashukuru mno Uongozi wa Simba SC kwa Kumleta ' Mbaya ' wake Mkude ambaye ni Kocha wake, Kaka yake na Mtu pekee anayemmudu na kumuweza Mkude na hata Yeye Mkude anamuogopa Kocha Msaidizi mpya wa Simba SC na Rafiki yangu Mkubwa na Mchezaji ambaye alinifanya niupende zaidi Soka Nahodha wa Kihistoria Simba Sports Club Suleiman Abdallah Matola a.k.a Mzambia a.k.a Veron. Kwa ujio wa Kocha Matola hapo Msimbazi Jonas Mkude sasa atatulia na Kujiheshimu.
 
Jamaa uko full detailed! Genius! Ila Mkuu usifanye masihara na nguvu ya "takko kubwa" Bangi na wale wahuni wa pale uwanja wa Kino Muslim ni damu damu!

Asante ila usinifie sana kwani unawaudhi Watu hapa na baadae wanaweza Kusema hata hii ID yako ni yangu na kwamba najisifu.
 
Back
Top Bottom