Kwa jinsi Simba wanavyobebwa nashauri wapewe kombe

Kwa jinsi Simba wanavyobebwa nashauri wapewe kombe

Ndio maana wazungu wameweka VAR.
Unadhani kama mpira una kasi si unaweza kuwanyima watu goli kwa hisia tu kuwa ilikuwa offside kumbe lah

Sasa kama ni offside kweli ni bahati ya aliyepata goli.

Kumaliza ubishi iletwe VAR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpira wa kazi wapi wakati kibendera alikuwa mstari mmoja kabisa na Boko,labda kama Ana macho mabovu
 
Hahaha wazee wa mbeleko
FB_IMG_1580842469280.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom