Kwa hio hakunaga singofaza?🤔

Kwa hio hakunaga singofaza?🤔

ELI COHEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
9,388
Reaction score
28,526
Kwani aliemzalisha singomaza alafu yeye bado yuko single anapaswa kuitwaje?

Au usingofaza ni hadi pale mwanaume anapo achiwa watoto na mzazi mwenza?

Single dads mpo?
 
Kama apa nilivyo single yaani takwimu zinaonyesha wanawake wako bilioni 7 wanaume wako bilioni 3 na hakuna mwanamke single kila mtu ana mtu wake.........
Takwimu za wapi hizo. Kwa takwimu kila chanzo kinaonesha wanaume ni wengi kuliko wanawake
 
Takwimu za wapi hizo. Kwa takwimu kila chanzo kinaonesha wanaume ni wengi kuliko wanawake
images (9).jpeg
 
Single father wapo ila hawavumi, wengi wao ni wanaume waliochwa na wake zao wakaachiwa watoto na hawakutaka kuoa tena
 
Mwanaume ni jumlisha sio toa ndio maana tunaitwa baba
 
Usishushe hadhi ya watu aise! Single father ni yule anaejua kuwa kuna kiumbe/viumbe ameleta duniani na anaweza kuvihudumia hata kama hayuko pamoja na mama yao. Sasa kuna wengine wanazalisha na kutelekeza. Bila kujali umri wao, hao ni watoto wa kiume,na wasiojielewa.
 
Kwani aliemzalisha singomaza alafu yeye bado yuko single anapaswa kuitwaje?

Au usingofaza ni hadi pale mwanaume anapo achiwa watoto na mzazi mwenza?

Single dads mpo?
Hakuna mwanaume anayezaa, atakuwaje single faza?
 
Back
Top Bottom