Kwa hili ZFA mmejivua nguo!

Kwa hili ZFA mmejivua nguo!

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
Nimeshituka na kupata presha niliposikia CHAMA CHA SOKA CHA ZANZI-BAR kuiondoa timu ya Yanga eti kwa sbb wamemepeleka kikosi cha vijana na sio kikosi cha kwanza.Kwa mtu anaejali ustawi wa soka la nchi yyote duniani,yanga walitakiwa kupongezwa na sio kutimuliwa.Mbona ivory coast wlileta kikosi cha vijana kwenye mashindano ya cecafa na tff hawkuwatimua...poleni waznz mtabonyeza kizenji hivohivo milele namilele*hamtafika popote:blah::yawn::blah:
 
Hii inaonyesha jinsi gani ambavyo TFF isivyokuwa makini

ZFA waliwapa time zote masharti ya kushirikia katika mashindano haya lakini kandambili wakaonyesha dharau ...
 
tatizo si yanga kufukuzwa, hapa suala ni kuwa yanga hii ya sasa haina timu B, kama ingekuwa na timu B inayoeleweka kusingekuwa na shida, ivory coast haikuleta timu B, ilileta timu ya wachezaji wanaocheza ligi ya kwao yaani kama ilivyokuwa kwa stars yetu. Timu yao ya taifa wachezaji karibu wote wanacheza ulaya si rahisi kuwaita wote ili waje wacheze challenge cup!
 
ZFA walitaka kuchuma pesa kwa kutumia wachezaji wapya wa yanga
 
kazi ipo kama haya ndio mawazo ya mashabiki..
 
kimsing Yng hana dira ya soka, macho yake yapo kwa simba tu. Hivi na Burundi nako mwajitetea nini, ipo wapi haja ya kuwa na timu za under 20 kwa klabu?
huu ni umbumbumbu wa yanga.
 
Back
Top Bottom