Balozi wa Dodoma
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 477
- 179
Aje washkaji zangu wa nguvu!?
Kuna jambo sijalipenda hata #Kidogo na sina budi niliweke wazi. wiki iliyopita Kampuni ya WCB iliingia kwenye headliness baada ya msanii wake Diamond platnumz kuzuia uzinduzi wa Singo yake aliyowashirikisha Psquare ili kuruhusu msanii chipukizi wa WcB harmonize kuachia singo yake mpya iitwayo matatizo.
Kiukweli ilikuwa ni jambo zuri sana kwa mondi kuonesha support kwa vijana wake lakini nimeshangazwa na kitendo cha WCB tena kumruhusu Mondi kuachia ngoma yake mpya huku ngoma ya Harmonize bado ipo "Yamoto" bado hata aijaanza kupoa. Hii itasababisha Watu kusahau singo mpya ya Harmo na kuipa nafasi kubwa zaidi singo ya mondi kutamba. Kibiashara kwa WCB ni faida kubwa sana bt kwa Msanii Harmonize ni unyonyaji.
Napenda kuwashauri WCB wawe na mpango maalum wa kuachia ngoma. Tujifunze kwa wenzetu wamarekani inapotokea msanii mmoja yupo kwenye Chat basi wasanii wengine humpa gap ili wasije wakafunikwa. WCB ni chama kubwa na natumaini hili mtalifanyia kazi.
Nawasilisha
Unapania chuki kweli wewe ni wa hovyo haswa.Here I am,subiri nataka nije na jiwe kuhusu hiyo release ya Chibu wenu.
Utanichukiaje sasa?
[emoji23][emoji23][emoji23]
I miss you too darling [emoji8]
Sasa hao wte ni wezi tu kama yeyeKajipange ipya kijana iko kibwagizo cha dance, fiesta , forever sio lionel richie peke yake ametumia nenda kacheki henrique iglesias ft pitbul inaitwa i like it wamekitumia , nenda tena kacheki nyimbo ya dbanj bother you nae katumia hicho .
Acha kukariri jifunze mziki kijana
Kabla hamjapumua inashuka kolabo ya Raynavy na Simbaaa!Aje washkaji zangu wa nguvu!?
Kuna jambo sijalipenda hata #Kidogo na sina budi niliweke wazi. wiki iliyopita Kampuni ya WCB iliingia kwenye headliness baada ya msanii wake Diamond platnumz kuzuia uzinduzi wa Singo yake aliyowashirikisha Psquare ili kuruhusu msanii chipukizi wa WcB harmonize kuachia singo yake mpya iitwayo matatizo.
Kiukweli ilikuwa ni jambo zuri sana kwa mondi kuonesha support kwa vijana wake lakini nimeshangazwa na kitendo cha WCB tena kumruhusu Mondi kuachia ngoma yake mpya huku ngoma ya Harmonize bado ipo "Yamoto" bado hata aijaanza kupoa. Hii itasababisha Watu kusahau singo mpya ya Harmo na kuipa nafasi kubwa zaidi singo ya mondi kutamba. Kibiashara kwa WCB ni faida kubwa sana bt kwa Msanii Harmonize ni unyonyaji.
Napenda kuwashauri WCB wawe na mpango maalum wa kuachia ngoma. Tujifunze kwa wenzetu wamarekani inapotokea msanii mmoja yupo kwenye Chat basi wasanii wengine humpa gap ili wasije wakafunikwa. WCB ni chama kubwa na natumaini hili mtalifanyia kazi.
Nawasilisha
Mbona kama ushapanic tayari?Unapania chuki kweli wewe ni wa hovyo haswa.
Yaan hamna kitu paleNyimbo yenyewee sasa bora hiyo ya matatizo
Sijawahi na sitarajii na sijamuona wakunipanikisha mimi humu ndani na ndio maana mimi ndio huwa najibu kejeri,matusi na shombo zote zinazomuhusu DIAMOND PLATNUMZ na sitoacha.Mbona kama ushapanic tayari?
Kwani vepeee?
Mwongezee na maji huwa yanakatika piaKama kukatika hata umeme unakatika,nyimbo mbayaaa
Jinsi una2ambia kua wewe ni mbea sanaWaliotazama wote ni wale wambea wambea ujinga mtupu
Haha ushabiki mwingine bwanaKipindi hiki si kizuri kutoa wimbo basi tu ubishi wake. .mtaani kuna aje ya king kiba na kuna hainaga ushemeji ya man fongo unaanzaje kutoa wimbo. .Diamond mjanja ndo maana hajatoa wimbo mpaka sasa kaamua kutoa video clip ya sarakasi aliofanya na p square ambapo yeye diamond kaenda kama moses iyobo wa p square
Akili yako imeganda hivi unadhani diamond anatoa nyimbo kwa ajili ya soko la tanzania pekee? Pole sanaKipindi hiki si kizuri kutoa wimbo basi tu ubishi wake. .mtaani kuna aje ya king kiba na kuna hainaga ushemeji ya man fongo unaanzaje kutoa wimbo. .Diamond mjanja ndo maana hajatoa wimbo mpaka sasa kaamua kutoa video clip ya sarakasi aliofanya na p square ambapo yeye diamond kaenda kama moses iyobo wa p square
Short and clearImba basi wewe
Unalipwa?Sijawahi na sitarajii na sijamuona wakunipanikisha mimi humu ndani na ndio maana mimi ndio huwa najibu kejeri,matusi na shombo zote zinazomuhusu DIAMOND PLATNUMZ na sitoacha.
Yes,tsh 45milioni per year.Unalipwa?
Hahahahahaaaaa unahasiraa, umekula lakini?Unalinganisha Lionel Richie na kichaa