Kwa hili wazazi tuwe macho

Wilson Gamba

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2013
Posts
820
Reaction score
917
Habari za siku wana jamvi?Natumai mu-wazima. NAOMBA NIONGELEE TABIA YA MABINTI ZETU JUU YA UVAAJI WAO HASA PALE WANAPOKUWA MBALI NA WAZAZI WAO,KWA KWELI INATIA HULUMA SANA KWANI WENGI WAO WANAGEUKA KERO KTK JAMII ,UVAAJI WA SURUALI AMBAO SI UTAMADUNI WETU NA SKETI FUPI BINAFSI NAONA WAZAZI TUNA WAJIBU WA KUPAMBANA NA HILI KTK MALEZI YA WANETU KWANI KUPITIA HILI WENGI WA WANETU WAMEKUWA WAKIINGIA KTK MITEGO MBALIMBALI AMBAYO IMEKUWA INA HARIBU FUTURE YAO.UTAKUWA SHAIDI NA KAMA UNAONA HALI ILIVYO KATIKA SHULE,MITAANI,VYUONI NA SEHEMU MBALIMBALI KTK NCHI YETU UTAONA HULUMA KWA TAIFA LIJALO,TUTAONA WAPI WATU WENYE KUKEMEA MABAYA KAMA TUSIPOANZA KTK FAMILIA ZETU? MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Mungu atawahukumu, dunia itawafunza
 
Kweli ....
 
Mkuu, siku ukienda ulaya sijuwi utakuwaje. Mavazi tu kwangu siyo issue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…