Kaka mwisho
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 408
- 182
Halafu shuhudia siku mmoja wao akigombea urais/ubunge/udiwani,kura zote wanampa za Hapana,yaani....vichwa vyao wanavijua wenyewe...'adui wa mwanamke ni mwanamke'.
Halafu shuhudia siku mmoja wao akigombea urais/ubunge/udiwani,kura zote wanampa za Hapana,yaani....vichwa vyao wanavijua wenyewe...'adui wa mwanamke ni mwanamke'.
anne kilango alipitaje yule kama sio sisi mweh!Halafu shuhudia siku mmoja wao akigombea urais/ubunge/udiwani,kura zote wanampa za Hapana,yaani....vichwa vyao wanavijua wenyewe...'adui wa mwanamke ni mwanamke'.
Kusimama ni sehemu ya mazoezi. Inawezekana yule aliyekaa ni mgonjwa na ndio maana hajampisha huyo mjamwepesi.
Kusimama ni sehemu ya mazoezi. Inawezekana yule aliyekaa ni mgonjwa na ndio maana hajampisha huyo mjamwepesi.
halafu shuhudia siku mmoja wao akigombea urais/ubunge/udiwani,kura zote wanampa za hapana,yaani....vichwa vyao wanavijua wenyewe...'adui wa mwanamke ni mwanamke'.
Halafu mnatupa lawama.
Sisi ndio dada na mama zenu,
yatupasa mwanamke akiingia sehemu yoyote yenye mjumuiko,
endapo kuna mwanamme amekaa yabidi ainuke sisi tukae.