Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,491
- 2,355
Wakuu wa mikoa na wilaya wana faida gani katika ustawi wa jamii yetu pamoja na maendeleo kwa ujumla? Maana naona kama wengi wao hawana ubunifu katika kushughurikia kero za wananchi katika maeneo yao
Kwa mfano: Unakuta mkoa una misitu ya kutosha, wanashindwa vipi kushirikia na idara zinazohusika kubuni njia ya kupata madawati wanafunzi wasikae chini?
Mimi huwa nahisi hawa jamaa (Nikimuacha Makonda anayehangaika na elimu) kazi yao na ufanishi wao uko kwenye kushughulikia wapinzani katika maeneo yao.
JPM hawa jamaa ni majipu kama jambo dogo kama hili la madawati linawashinda WATUMBUE PESA ZA KULIPIA MISHAHARA YAO TUKANUNUE MADAWATI. Haiwezekani kuendelea kuwa na lundo la utitiri wa viongozi ambao ni mzigo kwenye Taifa