Mchumba hasomeshwi
Pole mkuusio kweli nimeshuhudia watu wakitendwa
Hii safi sana,nimeipenda sanaHivi wanaume mnajiumiza kichwa kusomesha demu..
Unampenda mwanamke,MUOE afu mpeleke shule..na kama ni chuo hakikisha hapo kati unamtuliza na mimba..over!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli siku n kubwa, Asubuh tu Ulikua na aman mtu wa watu asaiv ushaachwa mkuu, Pole sana utapata mwingne