Kwa hili ubinadamu lazima jamani

Uhuru24

JF-Expert Member
May 2, 2015
4,099
4,353
Kweli watu hawapaswi kuishi mabondeni sawa,basi wafanyieni hata kampango cha kuwasitiri jamani.
Kweri inasikitisha kwa hali ya kibinadamu,usisikie ukose pa kwenda,mfano wew just imagine ungelikwenda wapi?????mwisho wa siku bado ni raia na wazawa wa hapahap.
Leo hiii haipendezi mkimbizi toka Burundi huthaminiwa kuliko mzawa.
WATANZANIA SOTE NI NDUGU,WEMA WAWASAIDIE PA KUFIKIA,KWA HILO TU
 
Bora tingatinga likija unaliona ila mafuriko yanaweza kukufumania usiku mkubwa.
Aisee Mkuu nimecheka sana
Kuna ukweli kabisa kwenye hili
Lakini sisi watu wa mabondeni na sisi ni wabishi sana na mda mwingine tunajifanya hatusikii maagizo ya serikali
Ikiamua kufanya kazi yake ndo kama hivi sasa kuombeana laana zisizo za lazima
 
Pole ndugu ukweli inauma kuvunjiwa ila sasa ikigeukia upande mwingine khatari.
 
Kweli watu hawapaswi kuishi mabondeni sawa,basi wafanyieni hata kampango cha kuwasitiri jamani.
Kweri inasikitisha kwa hali ya kibinadamu,usisikie ukose pa kwenda,mfano wew just imagine ungelikwenda wapi?????mwisho wa siku bado ni raia na wazawa wa hapahap.
Leo hiii haipendezi mkimbizi toka Burundi huthaminiwa kuliko mzawa.
WATANZANIA SOTE NI NDUGU,WEMA WAWASAIDIE PA KUFIKIA,KWA HILO TU

Magufuli alisema watalimia meno, wabongo wengi hawakujua alimkusudia nani.

Huyu ni mfalme Caligula, anaweza kukufyeka panga hata kama uko team yake.
 
Wanasema Caligula utawala wake ulikuwa shaped na lunacy na lust.....
ha ha haaa hatari hiii kabisa
 
Magufuli ukimsikia alivyowajibu waandishi wa habari utajua kwamba huyu ni modern day Caligula.

I thought Mkapa was bad, but at least Mkapa had some modicum of polish.

This guy is a brute, a country bumpkin who thinks he has arrived, with the mandate of god on his shoulder.
 
Mi nilishasema kwa jinsi wanavyofanya kazi [bila busara, hekima, na mipango madhubuti] wanadhani wanaondoa tatizo huku wakitengeneza tatizo jingine [la homelessness].
 
Magufuli ukimsikia alivyowajibu waandishi wa habari utajua kwamba huyu ni modern day Caligula.

I thought Mkapa was bad, but at least Mkapa had some modicum of polish.

This guy is a brute, a country bumpkin who thinks he has arrived, with the mandate of god on his shoulder.

The worst part wapambe na yeye mwenyewe wanachukulia kutokusoma nje na kutoku safiri sana nje ni sifa
kumbe ni hasara kubwa sana kwake....angalau angepata exposure nje ya nchi..hasa kama angesoma nje kidogo..
 
Ukondoo tu.

Mguu wa msafiri mpaka Baba Maal kaufagilia.
 
Ukindoo tu.

Mguu wa msafiri mpaka Baba Maal kaufagilia.

Nahisi labda anaogopa kuwa exposed..

Hasa na foreign journalists

Siku ile anatangaza cabinet alionesha kuamini na yeye kuwa kuchelewa kutangaza cabinet
was good na ilipunguza gharama...i was shocked...
 
Kwa tajiriba yangu mimi bado kabisa sijakutana na elimu iliyo bora zaidi kuliko ya kutoka nje ya mipaka yako na kukutana na watu wa kutoka kwingine wenye rangi, dini, tamaduni, na mambo mengine yaliyo tofauti na yako na ulikotokea.

Nimesoma na watu wa kutoka kila pembe ya dunia na wa kila aina wakiwemo mashoga, wakana mungu, wahafidhina, na wengine na naweza kabisa kusema kwamba katu sitokuja kuibadilisha hiyo tajiriba na jambo au kitu kingine chochote kile.

Naamini kabisa kwamba huo uzoefu umepanua wigo wangu wa uelewa na kwa msingi huo umenifanya niwe mtu bora zaidi. Na ndiyo maana huwa sina kabisa tatizo katika kumkubali mtu kwa jinsi alivyo hata kama yupo tofauti kabisa na mimi kwani hata kama tupo tofauti sana, jambo moja la msingi linalotuunganisha ni ule ubinadamu wetu.

Upanukaji wa wigo wangu umenifanya niwe mtu mwelewa sana na mwenye fikra zilizo huria [open minded].
 
MAFURIKO YAKITOKEA.
*Huleta vifo, watu kupoteza vitu vyao na pia hufanya watu kukosa makazi.

BURDOZA LIKIBOMOA NYUMBA.
*Hufanya watu kukosa makaz bila hata kuwaua wala kupoteza vitu vyao.

Ishu ya watu kujenga mahala kinyume na sheria kilifanyika nyakat zile lakn leo imekuwa tofauti maana serikali imewapenda watu wake kwa kuwaondoa ili kuepusha maafa.

*Majipu ya TRA, Bandari, Uhamiaji na kwingineko hayana tofauti na hayo ya kujenga bondeni.
 
Kwa tajiriba yangu mimi bado kabisa sijakutana na elimu iliyo bora zaidi kuliko ya kutoka nje ya mipaka yako na kukutana na watu wa kutoka kwingine wenye rangi, dini, tamaduni, na mambo mengine yaliyo tofauti na yako na ulikotokea.

Nimesoma na watu wa kutoka kila pembe ya dunia na wa kila aina wakiwemo mashoga, wakana mungu, wahafidhina, na wengine na naweza kabisa kusema kwamba katu sitokuja kuibadilisha hiyo tajiriba na jambo au kitu kingine chochote kile.

Naamini kabisa kwamba huo uzoefu umepanua wigo wangu wa uelewa na kwa msingi huo umenifanya niwe mtu bora zaidi. Na ndiyo maana huwa sina kabisa tatizo katika kumkubali mtu kwa jinsi alivyo hata kama yupo tofauti kabisa na mimi kwani hata kama tupo tofauti sana, jambo moja la msingi linalotuunganisha ni ule ubinadamu wetu.

Upanukaji wa wigo wangu umenifanya niwe mtu mwelewa sana na mwenye fikra zilizo huria [open minded].

Kusafiri ni kwenda shule tosha
kama angekuwa anasafiri vya kutosha sidhani kama angejenga barabara zile
zenye mitaro isiyofunikwa pembeni na zenye ubora hafifu...
na wala asingeona kusifiwa 'mchapakazi' kwa quality ile..
 
Back
Top Bottom