Mkuu mimi nimshabiki sana sana wa Mnyama kifupi soka la tanganyika lakini soka letu linapelekwa pelwkwa tu kihuni huni imradi liende na watu wamejaa unazi wa kijinga hata kwenye mambo ambaayo haya hitaji unazi wa *******, Tenga amalize mda wake awapishe wengine nao wajaribu angalia swala na Michael wambura kuzuiliwa asigombe, angalia swala la usali wa wachezaji utaona utumbo mwanzo mwisho...huko mikoani ndiyo usiseme....