Sema huna hela ya kununua simu nzuri. Tecno mi lowa end phone.
Zimetengenezwa na waliozitengeneza hawazitumii
Ndugu wanajamvi,
Nimeona ninene la kwangu kuhusiana na kampuni ya Simu TECNO.
Nimekuwa mtumiaji wa simu za Tecno kwa muda mrefu na hasa kwa hizi Smartphones tangu N3, P3 ........!
Lakini katika matoleo yote nilowahi kutumia leo naomba niwapongeze hadharani kwamba TECNO L6 wameitendea haki kwa suala zima la charge.
Tecno L6 ina uwezo wa kukaa na charge kwa muda mrefu ukilinganisha na matoleo mengine.
Hongera sana TECNO, hongera TECNO L6.
weakness za tecno ni chipset zilizotumika ambazo ni low price chips. MEDIATEK.
kutokana na hilo basi simu zote zenye mtk si bora na hazifai kuwekwa katika makundi ya simu? To be honest
VIWA
HUAWEI za mtk
OBI
STARTIMES
GIONEE
ACER za mtk
X-BO
ITEL
VODAFONE
HISENSE
na zinginezo....
zipo simu za tecno zinazo deserve sifa na pia zipo za ovyo

Hapo ktk red. Hiyo ni simu gani mkuu?Haitoshi kuziponda hizi cm tacno, ungeenda mbele zaidi kuainisha mapungufu vyake. yeye ameziona nzuri kwa kigezo cha chaji je wewe umezionz mbzya kwa kigezo gani?.
kuna tecno na tecno. sisemi kwamba tecno ni high end device na sijasema kwamba ipo juu kuliko samsung htc microsoft or whatever..
mtu aliyetumia tecno N3 peke yake hawezi kujua kuhusu PHANTOM..
baadhi ya simu nzuri za tecno
L6
PHANTOM A
PHANTOM Z
Z MINI
L7
R7
R5
F5
na zinginezo. Zile zilizokuwa za kawaida sana ni L3,M3, P5,P3.....
daah kwl kaka techno kw chaji ipo vzr cna hata uimara cn hamu na huawei ilivokufa .nw ni techno tuu