Kwa hili tanesco naitaji maelezo

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,710
2,226
Nilienda kununua umeme wa LUKU nkataoa 10000 yafutayo ndo makato na unit nilizo nunua
ths 5458.72 for 34.8 kwh @156.8
VAT 18%,EWURA 1%,REA 3% =1200.92
Fixed cost collected =2738
VAT 18%,EWURA 1%,REA 3% =602.36
SWALI
Mbona kwa the same token makato ya vat,ewura na REA yako mara mbili ie 1200 na 602
Alafu iyo fixed cost collected ndo kitu gani?au ndo aka ya service charge?
MY TAKE:
Isije ikawa ndo tushaanza kuilipa dowans kinyemela?
 
Kwa ufupi ni kwamba umenunua umeme wa sh 5458.72. VAT+ EWURA+REA charges ya hii ni sh. 1200.92

Katika manunuzi kuna "service fee", ambayo ndo Fixed cost collected = sh. 2738. Hii nayo inalipiwa VAT+EWURA+REA, jumla yake ndo sh. 602.36

Mathematically, it is ok. Uendeshaji wa hizi taasisi za EWURA, na REA zinaghalimiwa na watumiaji wa huduma kutoka mashirika au makampuni yanayoratibiwa na vyombo hivi vya udhibiti kwa mujibu wa sheria zilizoanzisha vyombo hivyo.
 
Kwa calculation wako sahihi ila huduma hiyo wanayokata Fixed Cost haiendani na tunacholipa. Hii kampuni ingekuwa binafsi ni sample ya Dowans hakuna tofauti. Matapeli na wababaishaji sana. Ukiorodhesha matatizo yao yanajaa counter book. Juzi wametangaza mgao wa umeme wanatoa matangazo kibao kwenye magazeti lakini hata hawaifuati ratiba yenyewe. Kigamboni wana siku zaidi ya mbili hawana umeme. Siku nyingine wanakata siku nzima hadi alfajiri wapuuzi sana.
 
Back
Top Bottom