CHOMBEZA
Senior Member
- Oct 27, 2011
- 129
- 27
Huu ni ufundi wa mchezo wa karata tatu.........
Saa 6 mchana Prof.Muhongo kajiuzuru!👐?
Saa 9 alasiri baraza jipya likatangazwa.📢😉😉
Saa 12 wakaapishwa!📖👌👌
Saa 2 usiku Jk akakwea pipa to Davos.✋✈✈😜😝🙈🙈
Nilivyochunguza baraza vizuri na kwa umakini nikaona kumechezeshwa mikono tu kama ilivyo kwenye karata tatu yauku imekwenda huku na ya huku imeka huku kazi kwetu watz kufunua sahihi itakuwa ipi...........
Time za fungulia dog match imefikia dk 90 no Extra time:thumbup: