Hamiduiddy
Member
- Jul 16, 2017
- 17
- 6
Kwanza niombe samahani kwa hili maana wamezidi hawa watu wasio jielewa, hv ni kwa nn baadhi ya watu wanapenda kuwavurugia watu siku zao kwann watu wanapenda kucoment ujinga, Matusi, dharau kwenye post za watu hiv hii inaletwa na nn hasa mtu anapost vitu vyake ww unatoa povu kwani alikuwandikia ww si ufanye mambo yako mengine mbona mnakosa kujiheshimu lakin, au hii page baba zenu wanashea ni ujinga kabisa, heshimu mawazo ya mtu hukumpa bando ww ukiona haikuhusu pita kushoto
Sent from my TECNO P6 using JamiiForums mobile app
Sent from my TECNO P6 using JamiiForums mobile app
