muonamambo
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 879
- 551
Dawa ya Tanesco ni kupata mpinzani wake. Nakumbuka ile enzi ya simu ya kukoroga ttcl walitutesa sana. Lakini angalieni leo walivyonywea, na bado watu wanavyowafanyia kitu mbaya hawana hata hamu
Dawa ya Tanesco ni kupata mpinzani wake. Nakumbuka ile enzi ya simu ya kukoroga ttcl walitutesa sana. Lakini angalieni leo walivyonywea, na bado watu wanavyowafanyia kitu mbaya hawana hata hamu
Tatizo halipo Tanesco,ni Serikali iliopo madarakani,(Richmond,IPTL,)na wengine kama hao. ndiyo sababu Tanesco hawana wasiwasi wowote kwakua wanajua.
Kwao mteja siyo mfalme bali ni kero. Hata kukiwa na matatizo madogo ukiwapa taarifa wanaweza kuja kwenye eneo la tukio baada ya siku mbili na hapo ni baada ya kupiga simu sana (kuwasumbua). Sijui hawaoni kama wanajipunguzia mapato?.
Mkuu, Mpinzani wa TANESCO atatokea tu kama utaratibu wa sasa wa kila mwekezaji kwenye umeme lazima ahakikishiwe mshiko wake safi wa capacity charge amezalisha hajazalisha lazima alipwe na TANESCO la sivyo nani ataacha kujizolea hela ya uhakika akasumbuke kufukuzana na wateja wa umeme.Dawa ya Tanesco ni kupata mpinzani wake. Nakumbuka ile enzi ya simu ya kukoroga ttcl walitutesa sana. Lakini angalieni leo walivyonywea, na bado watu wanavyowafanyia kitu mbaya hawana hata hamu
Tanzania ndio nchii pekee ambapo mteja hathaminiwi. Shirika kubwa kama TANESCO wanaamka asubuhi wanaanzisha mgao kwa siku kadhaa bila kutoa taarifa na wako happy kabisa kama kila kitu kinaenda sawa kabisa...
Watu wote nao wako happy kwamba hata wakikatiwa umeme kwao sio issue kubwa sana kwani hawastaili huduma bora bali bora huduma.
Haya ni zaidi ya huduma mbovu sana za kuunganishiwa umeme ambapo pamoja na kulipa unaweza subiri miaka 2 mpaka mitatu na huna la kusema....
Kwa mtindo huo bado unauuziwa nguzo , waya , sijui braketi sijuii nini ..... ili mradi tu nenda rudi na kuombwa hela kusiko isha... na baada ya kununua vyote hivyo bado huwezi sema kwamba ni mali yako....
Du hii kweli ni kali na kwa hili nimewapenda TANESCO kampuni pekee inayoweza kufanya lolote itakalo na bado watu wakachekelea tu...
Muonamambo Arusha
Kwao mteja siyo mfalme bali ni kero. Hata kukiwa na matatizo madogo ukiwapa taarifa wanaweza kuja kwenye eneo la tukio baada ya siku mbili na hapo ni baada ya kupiga simu sana (kuwasumbua). Sijui hawaoni kama wanajipunguzia mapato?.
Haswa tumechoshwa na huduma mbaya kupita kiasi kama za TANESCO. MGAO MWAKA MZIMA... mwaka jana bunge lilikataa kupitisha bajeti ya wizara ya nishati kwa kile tulichoelezwa waje na mpango mkakati wa kumaliza tatizo la umeme... baadaye tukaambiwa kuna mpango wa kuingiza MEGAWATI 300 ZA DHARURA...
SASA MGAO WA KIMYA KIMYA HATA AIBU HAMUONI JAMANI... kweli nimeamini its ONLY IN TANZANIA....
YAANI MAMBO SHAGLABAGLA.....
kinachoniudhi zaidi wateja tupo kimya hivi hatuwezi ishitaki TANESCO IL IKUKOMESHA UJINGA HUU
Tatizo halipo Tanesco,ni Serikali iliopo madarakani,(Richmond,IPTL,)na wengine kama hao. ndiyo sababu Tanesco hawana wasiwasi wowote kwakua wanajua.
Kama Tatizo sio TANESCO mbona sijawaona wakifunguka na kuwaambia wa Tz ubabe wanaofanyiwa na serikali na jinsi unavyowaathiri kutoa huduma ama tuwaone wakurugenzi wao wakijiudhuru kupinga kuingiliwa na serikali...? Naona wao wako happy na kwa kuwa hawajali wateja wao wanaona sawa tu na kundeleza rushwa zao za kugawa umeme...
kuna Tatizo kubwa TANESCO zaidi unavyofikiria....
TANESCO mteja kwao ni ***** au ****.
Uliona wapi duniani kampuni inatoa Tangazo la kudiscourage watu kutumia bidhaa yake ie kubana matumizi ya umeme iwe nyumbani au viwandani.
Ishajiona yenyewe ni yenyewe na hakuna nyingine zaidi ya yenyewe pasipokujifunza toka kwa wenzio TTCL ambayo kwa sasa inajuta
I am so sick when i think of Tanesco, higher electricity rates, higher monthly service charges, ALMOST ZERO SERVICES TO CUSTOMERS, upate tatizo la LUKU, utajua these guys are sleeping day & 9t, i changed to higher solar power 320 watts enjoying life now. I hate Tanesco