Kwa hili nimekukubali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa hili nimekukubali

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by peter tumaini, Jun 4, 2012.

 1. p

  peter tumaini JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 575
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Habari wanabodi,

  Jana Jumapili nilipokuwa nafuatilia taarifa ya habari ya ITV,nilifarijika kwa Mmiliki wa Makampuni ya IPP kutamka kuwa atayaorodhesha makampuni 2 pale DSE kwa hiyo watanzania wanunue share na kupata umiliki,hii kiuchumi iko njema na inaimarisha soko la mitaji na ndo chanzo kizuri cha kokomaza uchumi wa ndani iwapo wajasiliamali waliopiga hatua watajitokeza na kuorodhesha makampuni yao katika soko la hisa ili tukuze sector.

  Na pia aliwaahidi wafanyakazi watapewa fursa ya kununua hisa kwa utaratibu maalum na akapandisha mshahara na kima cha chini kitakuwa tshs.450,000/ kwa wafanyakazi wa IPP.Hii inaboresha kipato kwa watanzania na kuongeza Purchasing power.

  Kwa hili Reg Nimekukubali umetoa special economic stimuli.

  Nawasilisha.
   
 2. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #2
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,738
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Tusubiri, tuone hali ya soko na mwenendo wa bei ya hisa. Si unakumbuka ile NIKOL ya Felix Mosha na wenzie.... Big up Mengi, IPP itakuwa mikononi mwetu!
   
Loading...