Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,197
- 25,517
Wakati akichangia Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa mwaka 2017/2018,Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde (CCM) alibainisha tatizo kubwa la kiuchumi Tanzania.
Mbunge Lusinde alisema kuwa tatizo kubwa ni kuwa ukuaji wa uchumi wa kwenye karatasi hauakisi ukuaji wa uchumi katika hali halisi na maisha ya wananchi. Lusinde amesema hali ya maisha inazidi kuwa ngumu tofauti na takwimu zinazotolewa.
Lusinde aliitaka Wizara ya Fedha na Mipango chini ya Waziri wake Dr. Phillip Mpango ifanye kila linalowezekana kuhusianisha uchumi wa kwenye karatasi na ule wa kwenye maisha halisi ya watu. Kimsingi,naunga mkono hoja hii. Wananchi,kutokana na maisha yao,huwa hawaelewi wanaposomewa kuwa uchumi unapaa.