Kwa hili nahitaji ushauri.....

Nihzrath

Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
51
Reaction score
116
Kwenu wanajamii forum, kwa mara ya kwanza najitokeza kutoa post hapa jukwaani.....Nikihitaji ushauri wa kisayansi kuhusu maumbile yangu. Natumai kuwa wapo wataalamu mbalimbali hapa.......

Nina miaka zaidi y 25 ila bado sijafikisha 30....Nimekuwa na wasiwasi kuhusu maisha yangu ya baadae kutokana na hali yangu ilivyo.....naona aibu kueleza..lakini acha niseme hapa naweza kupata suluhisho. ....Nimekuwa na tatizo la kuwa na nguvu nyingi sana wakati wa tendo la ndoa, katika maisha yangu ni mara chache sana nafika kileleni...tena huwa natumia zaidi ya lisaa limoja kupiga bao la kwanza, na hilo la pili huwa sipati hama baada ya masaa 2 hadi 3 ama pengine nisikojoe kabisa. Kiukweli naweza kufanya mapenzi hata masaa 3 hadi 5 nikiwa kifuani.....mwenza wangu huwa anafika kileleni mara nyingi sana....na huwa anachoka sana..lk mimi bado nakuwa na nguvu sana....na kitu cha kushangaza hata ikitokea ninapokojoa uume bado unaendelea kusimama haraka.....binafsi nilichukulia hali ya kawaida nikidhani kuwa wanaume wote ndivyo tulivyo.....ila wasichana waliopata kuwa na mhusiano na mimi hubaki wakishangaa...na wakinihisi natumia dawa za kuongeza nguvu..lk naapa sijawahi fanya kitu hicho....wanabaki wakishangaa.....Nakiri kwa dhati sijawahi mwambia mwanamke nimechoka ni wao ndo husema wamechoka.....na hata marafiki zangu nikiwaambia hivyo hubaki wakinishangaa......Najihisi naweza kufanya mapenzi kwa muda mrefu bila kuchoka na uume kusinyaa.......Wasiwasi wangu ni huu je ninaweza kufikia miaka fulani nikawa sina nguvu tena? naombeni ushauri nini nifanye niwe kama mwanaume wa kawaida kitandani....maana nimechoka kuwa mtumwa wa ngono..kwa sababu wanawake wananipenda katika part hiyo tu.
 
Unapofanya mapenzi uwa unatumia Condom au ni kavukavu?
 
Unapofanya mapenzi uwa unatumia Condom au ni kavukavu?

Kwa mpenzi wangu! huwa nafanya kavukavu...maana kabla ya kuwa mpenzi....sharti ni kwenda kupima nae....
 
umeoa au chakachuzi tu.

Bado sijaoa......yule aliye sahihi nitajenga nae familia muda ukifika haijalishi umri au kipato. .muda wa utayari..kiakili na kimwili.
 
Kama ungekua unatumia Condom ningesema inaweza kua ni sababu ukivaa kwa kuibana mpaka kukojoa ni ngumu na inachukua masaa, lakini kama hutumii bas sababu itakua ni yakisaikolojia zaidi kwakua unawaza kitu kingine wakati unangonoka uwa inachelewa kwa mtu kupata bao! Jaribu kuweka mawazo kwenye tendo na pia jaribu mikao ambayo itakufanya uenjoy zaidi pia tumia vyakula vitakavyoongeza kiwango cha sperm then lete feedback
 

Naapa Mkuu...nikivaa Condom..uume hausimami...hapa ndipo nahisi tatizo...inaweza kusimama mpaka misuli inaonekana lk nikijaribu kuvaa condom uume unakosa nguvu kuingia chumvini. ndio maana nipo makini sana kupima mimi na mwenza wangu kama ni mpya.
 
Tatizo kama ilo pia wakati mwangine uchangiwa na mchezo wa kujichua kwa mda mrefu, kama ujapitia mchezo amini usiamini utakua umeathirika ki saikolojia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…