Kwa hili LATRA mmechemka

Kwamba LATRA ni taasisi kubwa sio, Inajiendesha yenyewe bila watu? Kama inaendeshwa na watu hao watu ni malaika
 
Exactly Mkwe21 Maana katika taarifa yao sijaona ambapo Hayo mabasi yaliyoondolewa saa tisa usiku ambapo walifika kwenye kituo kabla ya wakati, Sijawahi kuona Onyo kali lolote.. si Mpango huo?
 
Wakimaliza huko waende wakafungie Sauli na New Force kule njia ya Dar-Tunduma
 
Kinga ni bora kuliko tiba, wasisubiri mpaka gari hizo zipate ajali na kugharimu maisha ya watu au kuwafanya vilema ndiyo wachukue hatua.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Wacha Mamlaka ifanye kazi nunda wewe!! Ushindani wa spidi ilii kufila mapema ndiyo chanzo cha ajali za HOVYO za mabasi.

LATRA endeleeni na kuyyafungia magari yote yanayokiuka taratibu zenu, achana na hawa wanaoshindana kuwahi kufika.
Mzee baba inaonyesha unapenda sana kuandika hilo neno kwenye simu yako 😂😂😂
 
Wewe pimbi kinga ni bora kuliko tiba.
 
Pia kwa Agizo la Mwigulu la June, 2023 (Budget), LATRA haina mamlaka ya kufuta leseni. Sijui hawa LATRA huwa hawaskilizi BUNGE?
Serikali imejaa watendaji wababaishaji na wala rushwa,watu wanapewa kazi kwa kujuana na sio kuwa na taaluma, ubabaishaji na umimi mwingi sana,wangetoa sababu kwamba ving'amuzi vimechezewa sawa,lakini sio sababu zisizo na afya,kuendesha biashara sio sawa na kukaa ofisini na kusubiri mshahara
 
Wakimaliza huko waende wakafungie Sauli na New Force kule njia ya Dar-Tunduma
Hata huko hawajafungia ila wamebadilishiwa ratiba, mabasi yako barabarani bado, ila wengi wape acha tuite wamefungiwa.
 
LATRA wako sahihi kabisa! mleta hoja kaa chini ujitafakari tena! Ila aonekana wewe ni mmiliki wa kupata faida ya tumbo lako na vito vyako bila kujali haki na maisha ya abiria wako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…