Shukrani A. Ngonyani
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,182
- 2,015
Hii nchi ina wanafiki karibu wote. siku zote tunamlaumu JPM kwa kutofanya maamuzi yenye busara na yanayogusa maslahi ya wengi.
Leo "Ngosha" kathubutu kuwatia adabu wezi waliokuwa wanaibia serikali kwa kutumia vyeti vya wizi, wanajitokeza "wapuuzi" wanataka kuwatetea na kumlaumu mh. rais.
Kwa hili la wezi, waliopewa jina la "walioghushi natamani wangekuwa China tu, ndugu zao wangekuwa wanakula pilau muda huu wakiwa kwenye matanga.