Kwa hili la Shakira, Mapenzi hapana

Kwa hili la Shakira, Mapenzi hapana

Usikute Gerrard mwenzenu kashachoka vitimbi vya shskira

How comes unamcheat mwanamke mzuri ka Shakira.

Lazima kuna kitu!?
Kwa wing wa mademu wakal walioko spain.. shakira ni takataka... Pique ni tajiri... Unategemea nn
 
Mimi nahisi ni nature tu. Kuna wakati unatoka na pisi kalii balaa mpaka watu wengine wanaanza kukuonea wivu ila kuna muda unafika unaanza kuiona ya kawaida unaweza hata kucheat. Shida inakuja mmeshaachana ukikutana nayo tena unaanza kujilaumu unaona ni bonge la pisi.

Ilishawahi kunitokeana nahisi hata Pique nae inamtokea. Sisi tunamuona Shakira mwanamke haswa lakini mwenzetu ye hauoni ule uzuri tunaouona sisi. Ngoja waachane tu
 
kwel kabisa mkuu
 
No research no right to speak.
Fuatilia ujue kwa undani. Pique hakulala na maza ake huyo kijana, alilala na mwanamke mwingine tofauti.
Kaa chini, kunywa maji kwanza ndo uje tena.
Af usifananishe wakina Shakira na hawa kina mwajuma ndalandefu wa kibongo. We endelea tu na mapenzi, madem wa kibongo hyo wakawaka hawaimbi, wao wanaimba zimazima. Utajua hujui
 
Tukubali tukatae wanaume haswa haswa tumeumbiwa kuwa na mke zaidi ya mmoja ni basi tu tunajibana bana kwa sababu fulani fulani
Wazee wetu waliishi poa kumiliki zaidi ya mmoja, kuna kitabu kinasema tuoe mpaka wanne, naimani ni sahihi mungu aliyetuumba anatujua zaidi.
 
Mbona kawaida tu mwanamke akizoea kitanda..kwisha kazi ...na kama kawaida yetu wanaume tunaandaa nyavu for da next victim.
 
Usikute Gerrard mwenzenu kashachoka vitimbi vya shskira

How comes unamcheat mwanamke mzuri ka Shakira.

Lazima kuna kitu!?
Mwanamke anaweza kuwa mzuri lakini ku..m..a mbo.vu Muulize Domo kwanini alimkimbia Zari
 
Acha uongo….. mbona Rodryigo wa Madrid humuita Luka modric “Father” inamaana Luka katembea na mama ake Rodrygo??

Hio issue ya kuita father inatokea mchezaji anayeitwa kulingana kiumri na baba wa anaeita. sijui umeelewa sasa
 
Back
Top Bottom