Kwa hili la kocha Hans yanga wanafanya makosa

Jospina

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,421
1,387
Ina maana kuna siku Kocha Hans anaweza kugombea kuwa Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga?
1465650237006.jpg
 
hujui kama Hans Ni mwanachama Wa klabu ya yanga acha uzwazwa wako kila kitu kulalamika tuu NA kila mwanachama mwenye kadi hai anaruhusiwa KUPIGA kura au kumchagua kiongozi anae ona anafaa kwa manufaa ya klabu
 
Kwa kweli sababu mna zitafutiza, tulieni tuna maliza uchaguz tuendelee kuwashughulikia
 
Huyo babu ni mwanachama hai wa Yanga kama hujui, ulishawahi kujua aina ya uanachama ndani ya Yanga? Saa nyingine mtumie muda kidogo kuuliza au kujifunza mambo kabla hamjaandika kwenye kadamnasi
 
Sir Alex Ferguson pamoja kuwa ni Director ndani ya Board ya Man United pia ni mwanachama hai wa Man United Fans
 
Back
Top Bottom