Mambo ya msingi ambayo anatakiwa asimame mbele ya watanzania na kutoa tamko la nchi,mfn posho za wabunge yeye anakaa kimya na ikulu ndyo inamsemea.Lakini kuhudhuria kwenye vilio hadi vya makada wa ccm hatumi wawakilishi toka ili wamuwakilishe.Urais ni taasisi so movement yeyeyote anayofanya inahusu idara nyingi mno na shughuri nyingi zinasimama.Utafikiri kipindi cha Mkapa watu walikuwa hawafi bana aahhh inakera sna.
Sijakuelewa vizuri una maanisha nini, lakini haka kajamaa kana kera, huko Ulaya anakwenda kama msalani vile lakini kusimamia mambo ya msingi anamwachia Salva Rweyemamu
Ww ulidhani hiyo ni ofisi ya katibu kata?[/QUOnajua ina heshima sana ila chini ya utwala wake haina tofauti na ofisi ya katibu kata wa ndanda
punguzeni wevu jamani j.k amefanikiwa kujenga accountability government